-
Naibu Mkuu wa Majeshi Sudan Kusini ajiuzulu kulalamikia ubakaji na udhalilishaji raia
Feb 12, 2017 16:18Naibu Mkuu wa Majeshi ya Sudan Kusini anayehusika na masuala ya kilojistiki Luteni Jenerali Thomas Cirillo Swaka amejiuzulu kulalamikia vitendo vya unyanyasaji vikiwemo vya udhalilishaji wa kingono unaofanywa na vikosi vya usalama dhidi ya raia na kile alichokiita kuongezeka upendeleo wa kikabila jeshini.
-
Jeshi la Iran: Marekani ilitaka kutushambulia 1991, 2001 bila mafanikio
Jan 30, 2017 04:38Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, serikali ya Marekani ilitaka kuivamia nchi hii mwaka 1991 na 2001, lakini ikashindwa kutokana na kuwa macho na uwezo wa kujihami taifa hili.
-
Watu 37 wauawa katika shambulizi la bomu kaskazini mwa Mali
Jan 18, 2017 16:39Makumi ya watu wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika shambulizi la bomu karibu na kambi ya jeshi kaskazini mwa Mali leo Jumatano.
-
Raia mia moja wauawa katika shambulizi la Jeshi la Anga la Nigeria
Jan 18, 2017 04:49Makumi ya watu wameuawa katika shambulizi lililofanywa na ndege za kivita za Nigeria dhidi ya kambi moja ya wakimbizi kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Jeshi la Iraq: Tumekomboa 90% ya mashariki mwa mji wa Mosul kutoka Daesh
Jan 17, 2017 07:08Kamanda mwandamizi wa Kitengo cha Kupambana na Ugaidi cha Jeshi la Iraq (CTS) amesema askari wa nchi hiyo wamefanikiwa kukomboa karibu asilimia 90 ya eneo la mashariki mwa mji wa Mosul kutoka mikononi mwa genge la kigaidi la Daesh.
-
Malengo ya Uturuki ya kuendelea kukiuka haki ya kujitawala Iraq
Jan 16, 2017 03:52Licha ya malalamiko ya kila mara na mashitaka ya serikali ya Iraq katika asasi za kieneo na kimataifa, bado Uturuki imekataa kuondoa askari wake kutoka kambi ya kijeshi ya Bashiqa.
-
Kiongozi Muadhamu: Mashahidi Walinzi wa Haram ni fahari kwa taifa zima
Jan 05, 2017 16:10Familia za makomandoo saba wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu la Iran waliouawa shahidi kwa ajili ya kulinda Haram ya Bibi Zainab (SA) iliyoko nchini Syria leo zilimtembelea Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
-
Jeshi la Gambia latangaza kumuunga mkono Rais Yahya Jammeh
Jan 05, 2017 04:52Kamanda wa Jeshi la Gambia ametoa ujumbe akitangaza uungaji mkono kamili wa jeshi la nchi hiyo kwa Rais Yahya Jammeh ambaye amekataa kukabidhi madaraka ya nchi kwa njia ya amani baada ya kushindwa katika uchaguzi wa rais uliofanyika nchini humo mwezi uliopita.
-
Magaidi 76 wa Daesh waangamizwa katika mji wa Mosul, Iraq
Jan 03, 2017 13:51Vyombo vya usalama nchini Iraq vimetangaza habari ya kuuawa makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul ulioko kaskazini mwa nchi.
-
Watoto 17,000 watumika kama askari Sudan Kusini
Dec 17, 2016 08:01Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limesema kuna watoto elfu 17 wanaotumiwa kama askari wa makundi ya wapinzani nchini Sudan Kusini.