Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

jeshi

  • Amnesty: Jeshi la Nigeria limeua wanaharakati 150 wa Biafra

    Amnesty: Jeshi la Nigeria limeua wanaharakati 150 wa Biafra

    Nov 24, 2016 13:40

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema wanaharakati wapatao 150 wa vuguvugu linaloshinikiza kujitenga jimbo la Biafra wameuawa na jeshi la Nigeria katika kipindi cha mwaka mmoja.

  • Kaburi la umati lagunduliwa karibu na Mosul nchini Iraq

    Kaburi la umati lagunduliwa karibu na Mosul nchini Iraq

    Nov 08, 2016 07:45

    Vikosi vya serikali ya Iraq vimegundua kaburi la umati karibu na mji wa Mosul ambao kwa sasa unashuhudia makabiliano makali kati ya vikosi hivyo na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh/ISIS.

  • Askari 14 wa Nigeria wauawa na Boko Haram

    Askari 14 wa Nigeria wauawa na Boko Haram

    Nov 06, 2016 07:42

    Kwa akali askari 14 wa jeshi la Nigeria wameuawa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika jimbo la Borno.

  • Hashdu Shaabi: Hatuhitajii Marekani katika operesheni ya Mosul

    Hashdu Shaabi: Hatuhitajii Marekani katika operesheni ya Mosul

    Nov 02, 2016 14:40

    Kikosi cha kujitolewa cha Hashdu Shaabi kinachoshirikiana na jeshi la Iraq katika operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul toka mikononi mwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh kimesema vikosi hivyo havihitajii muungano wa kijeshi wa Marekani katika mapambano hayo.

  • Iran yafanya mazoezi makubwa ya jeshi la anga

    Iran yafanya mazoezi makubwa ya jeshi la anga

    Oct 17, 2016 15:40

    Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limeanzisha mazoezi makubwa yanayojumuisha ndege aina mbali mbali za kivita katika eneo la Anarak, Isfahan, kati mwa Iran.

  • Waasi wa FLEC wadai kuua askari 18 wa jeshi la Angola

    Waasi wa FLEC wadai kuua askari 18 wa jeshi la Angola

    Oct 01, 2016 07:58

    Waasi wa kundi linalopigania kujitenga eneo la Cabinda nchini Angola (FLEC) wamedai kwamba wameua askari 18 wa nchi hiyo.

  • Kiongozi Muadhamu: Majeshi ya Iran yawe tayari kukabiliana na adui

    Kiongozi Muadhamu: Majeshi ya Iran yawe tayari kukabiliana na adui

    Sep 28, 2016 13:56

    Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuhusu ulazima wa majeshi nchini kujiimarisha kiitikadi, kielimu na kinidhamu sambamba na kuwapa wanajeshi vijana uzoefu wa zama za Kujihami Kutakatifu.

  • Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu kuimarishwa uwezo wa kujihami na kushambulia

    Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu kuimarishwa uwezo wa kujihami na kushambulia

    Sep 01, 2016 07:50

    Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi vya Iran siku ya Jumatano alisisitiza ulazima wa nchi hii kujiimarisha katika sekta za kujihami na kumshambulia adui.

  • Jeshi la Iraq limeangamiza Madaesh 700 katika kisiwa cha Khalidiya

    Jeshi la Iraq limeangamiza Madaesh 700 katika kisiwa cha Khalidiya

    Aug 19, 2016 02:51

    Jeshi la Iraq limetangaza kuwa limefanikiwa kuangamiza mamia ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika operesheni ya kukomboa kisiwa cha Khalidiya, kilichopo mashariki mwa mji wa Ramadi, magharibi mwa mkoa wa Anbar.

  • Watu 5 wauawa katika mapigano Mali, askari 5 watoweka

    Watu 5 wauawa katika mapigano Mali, askari 5 watoweka

    Aug 10, 2016 03:38

    Kwa akali watu watano wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mapigano makali yaliyojiri kati kati ya Mali, huku duru za kiusalama zikiarifu kuwa askari watano wa serikali wametoweka baada ya kujiri mapigano hayo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS