-
Jeshi la Yemen laangamiza mamluki 52 wa Saudia
Aug 07, 2016 13:46Jeshi la Yemen limefanikiwa kuangamiza makumi ya mamluki wa Saudi Arabia mashariki mwa mji mkuu Sanaa.
-
Makabiliano kati ya jeshi na wabeba silaha Nigeria yaua 19
Aug 07, 2016 13:13Watu 19 wameuawa katika makabiliano makali kati ya askari wa jeshi la serikali na kundi la wabeba silaha katika jimbo la Niger nchini Nigeria.
-
Waasi wa FLEC wadai kuua askari 17 wa jeshi la Angola
Aug 02, 2016 07:57Waasi wa kundi linalopigania kujitenga eneo la Cabinda nchini Angola FLEC wamedai kwamba wameua askari 17 wa nchi hiyo katika makabiliano makali yaliyojiri mwishoni mwa wiki iliyomalizika.
-
Ripoti: Askari walioua Waislamu Nigeria washtakiwe
Aug 02, 2016 07:30Jopo la uchunguzi lililotwika jukumu la kuchunguza mauaji ya Waislamu kaskazini mwa Nigeria limekiri kuwa jeshi la nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika liliuawa Waislamu zaidi ya 300 katika mji wa Zaria jimbo la Kaduna.
-
Askri kadhaa wa Libya wauawa katika mapigano mapya Sirte
Jul 30, 2016 08:03Mapigano mapya baina ya askari wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya na genge la kigaidi la Daesh yamesababisha mauaji ya askari watano wa serikali katika mji wa Sirte, kaskazini mwa nchi hiyo.
-
39 wauawa na kujeruhiwa katika hujuma dhidi ya kambi ya jeshi Mali
Jul 20, 2016 07:31Askari 12 wa jeshi la Mali wameuawa katika shambulizi lililotekelezwa na waasi mapema jana katikati mwa nchi hiyo ya Magharibi mwa Afrika.
-
Amoli Larijani: Uislamu hauna uhusiano na ugaidi
Jul 18, 2016 14:00Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Iran amesema Uislamu hauna uhusiano na ugaidi na kuongeza kuwa kile kinachodaiwa kuwa ni 'Ugaidi wa Kiislamu' ni fikra ya Wamagharibi ambao wanaunga mkono kundi la kigaidi la ISIS au Daesh na makundi mengine ya wakufurishaji.
-
Zimbabwe imeshindwa kulilipa jeshi kwa mwezi wa pili mfululizo
Jul 16, 2016 04:32Zimbabwe imeshindwa kulipa mishahara ya jeshi la nchi hiyo kwa wakati kwa mwezi wa pili mfululizo sasa.
-
Jaribio la Mapinduzi ya Kijeshi Uturuki, Rais Erdogan Aapa kuwaadhibu wahusika
Jul 16, 2016 03:53Kumejiri jaribio la mapinduzi ya kijeshi nchini Uturuki Ijumaa usiku huku watu 42 wakiripotiwa kupoteza maisha katika mji mkuu Ankara na Rais ReccepTayyib Erdogan akisema jaribio hilo limeshindwa.
-
Wanajeshi 115 wauawa katika mapigano Juba, Sudan Kusini
Jul 09, 2016 14:56Wanajeshi wasiopungua 115 wameuawa Sudan Kusini katika mapignao baina ya mirengo hasimu serikalini katika mji mjuu Juba.