-
Jeshi la Kenya laua wanachama 4 wa al-Shabaab, Lamu
Jun 30, 2016 03:34Askari wa Kenya wamewaangamiza wanamgambo wanne wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika kaunti ya Lamu.
-
Makumi wauawa katika mapigano kati ya jeshi na waasi Sudan Kusini
Jun 29, 2016 13:23Makumi ya watu wameuawa katika wimbi jipya la mapigano kati ya askari wa jeshi la serikali na waasi katika mji wa Wau nchini Sudan Kusini.
-
Wanajeshi kadhaa DRC wakamatwa mkoani Ituri
Jun 13, 2016 07:08Wanajeshi kadhaa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (FARDC) wametiwa mbaroni katika mkoa wa Ituri kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Libya yapinga uingiliaji kijeshi wa madola ya kigeni
Jun 05, 2016 07:33Waziri Mkuu wa Libya amepinga uingiliaji wa kijeshi nchini humo ambao umekuwa ukipangwa na baadhi ya madola kwa kisingizio cha kupambana na magaidi wa ISIS nchini humo.
-
Meli ya Kivita ya Uingereza yaelekea Libya kuzuia wahamiaji
May 27, 2016 07:18Uingereza imetangaza kuwa itatuma meli ya kivita nchini Libya kuzuia wahamiaji wa kigeni ambao wanatumia pwani ya nchi hiyo kuvuka Bahari ya Mediterranean na kuiniga Ulaya kinyume cha sheria.
-
Kituo cha upekuzi cha jeshi la Mali chashambuliwa na watu wasiojulikana
May 23, 2016 07:16Duru za kijeshi za Mali zimetangaza habari ya kushambuliwa kituo kimoja cha upekuzi cha jeshi la nchi hiyo na watu wenye silaha.
-
Uwezo wa Jeshi la Iran ni sababu ya maadu kutoihujumu nchi hii
May 22, 2016 04:22Brigedia Jenerali Ahmad Reza Pourdastan, Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwepo tayari kivita jeshi la nchi hii ni sababu kuu inayowazuia maadui kuitishia Iran.
-
Iran kuendelea na mazoezi ya kijeshi
May 08, 2016 04:45Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Hussein Dehqan amesema Jamhuri ya Kiislamu haioni kizingiti chochote katika kufanya mazoezi ndani ya maji yake katika Ghuba ya Uajemi.
-
Wanajeshi wa Marekani wavamia kusini mwa Yemen
May 03, 2016 03:57Ripoti zinasema kuwa, wanajeshi wa kikosi maalumu cha Marekani wamevamia eneo la Kusini mwa Yemen kwa kisingizio cha kuwasaidia wanajeshi wa Imarati katika kile kinachodaiwa ni vita dhidi ya wanamgambo wa al Qaeda katika eneo hilo.
-
Brigedia Jenerali Pordastan: Iran kuadhibu vikali wavamizi
Apr 22, 2016 04:37Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu la Iran amesema chokochoko zozote dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu zitapata jibu kali na kwamba vikosi vya ardhini vya Iran vitawaadhibu vikali wavamizi.