Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jumuiya ya Nchi za Kiarabu

  • Netanyahu adai mabaki ya mwili yaliyorejeshwa si ya Shiri Bibas, HAMAS yamjibu

    Netanyahu adai mabaki ya mwili yaliyorejeshwa si ya Shiri Bibas, HAMAS yamjibu

    Feb 21, 2025 10:54

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amedai kuwa harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imekiuka masharti ya makubaliano ya kubadilishana mateka kwa sababu imekabidhi mwili wa mwanamke asiyejulikana kutoka Ghaza badala ya ule wa mateka wa Kizayuni Shiri Bibas.

  • Mkutano wa dharura wa OIC kuhusu Gaza kufanyika kwa pendekezo la Iran

    Mkutano wa dharura wa OIC kuhusu Gaza kufanyika kwa pendekezo la Iran

    Feb 13, 2025 02:52

    Kikao kisicho cha kawaida cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ch kuchunguza njama ya Marekani na Israel ya kuwaondoa kwa nguvu watu wa Gaza, kitafanyikandani ya wiki zijazo kutokana na pendekezo la Iran.

  • Arab League yalaani wazo la Netanyahu la kuwahamishia Wapalestina Saudia

    Arab League yalaani wazo la Netanyahu la kuwahamishia Wapalestina Saudia

    Feb 10, 2025 11:26

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amelaani vikali matamshi yaliyotolewa na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, ambaye alipendekeza kuwa Saudi Arabia inaweza kuunda taifa la Palestina ndani ya ardhi yake.

  • Arab League yapinga njama za Trump za kuipora Ghaza

    Arab League yapinga njama za Trump za kuipora Ghaza

    Feb 06, 2025 06:55

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League), imepinga njama mpya za rais wa Marekani, Donald Trump za kutaka kuipora Ghaza na kuwaondoa Wapalestina kwenye eneo lao hilo. Arab League imesema, mpango huo wa Trump ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.

  • Nchi za Kiarabu zapinga kuhamishwa Wapalestina wa Gaza

    Nchi za Kiarabu zapinga kuhamishwa Wapalestina wa Gaza

    Feb 02, 2025 10:53

    Nchi kubwa za Kiarabu zimepinga pendekezo la Rais wa Marekani, Donald Trump, la kuwafukuza Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza na kuwapeleka nje ya nchi yao.

  • Arab League: Kunyamazia kimya hali ya Palestina na Lebanon ni sawa na kushiriki katika jinai

    Arab League: Kunyamazia kimya hali ya Palestina na Lebanon ni sawa na kushiriki katika jinai

    Nov 11, 2024 07:53

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amesemam kuwa kukaa kimya mkabala wa jinai zinazotekelezwa na utawala wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina na Lebanon ni sawa na kushiriki katika jinai hizo.

  • Arab League: Mauaji ya kimbari ya Israel Gaza yanalenga kuwatimua Wapalestina

    Arab League: Mauaji ya kimbari ya Israel Gaza yanalenga kuwatimua Wapalestina

    Oct 15, 2024 02:18

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imelaani operesheni za mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni huko Gaza na kuzitaja hatua hizo kuwa ni sehemu ya mpango mpana  kuwatimua kwa lazima Wapalestina wa eneo hilo.

  • Umoja wa Mataifa warefusha vikwazo dhidi ya Sudan kwa mwaka mmoja mwingine

    Umoja wa Mataifa warefusha vikwazo dhidi ya Sudan kwa mwaka mmoja mwingine

    Sep 12, 2024 07:38

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limerefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Sudan kwa mwaka mmoja mwingine hadi Septemba 12, 2025.

  • Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu: 'Kusimamishwa uchokozi wa utawala wa Kizayuni huko Gaza ni takwa la kimataifa'

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu: 'Kusimamishwa uchokozi wa utawala wa Kizayuni huko Gaza ni takwa la kimataifa'

    Sep 11, 2024 06:05

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amekosoa kitendo cha jamii ya kimataifa cha kushindwa kusimamisha jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya raia wa kawaida wa Palestina na kusisitiza kwamba kusitishwa mauaji ya kimbari dhidi ya raia hao madhulumu huko Gaza ni takwa la kimataifa.

  • Balozi wa Iran UN awasilisha malalamiko kwa Baraza la Usalama kufuatia madai yasiyo na msingi ya Arab League

    Balozi wa Iran UN awasilisha malalamiko kwa Baraza la Usalama kufuatia madai yasiyo na msingi ya Arab League

    Jul 07, 2024 07:41

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amewasilisha malalamiko kwa Baraza la Usalama la umoja huo kuhusu madai ya uwongo yaliyotolewa na Jumuia ya Nchi za Kiarabu kuhusu Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS