-
OIC yatahadharisha kuhusu ujenzi wa vitongoji vya walowezi unaofanywa na Israel
Jun 29, 2024 12:36Katika radiamali yake kwa hatua mpya ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imesema kuwa kitendo hicho cha Israel ni muendelezo wa maangamizi ya kizazi na mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.
-
Sisitizo la Iran la nchi za Kiislamu kuchukua msimamo imara kwa ajili ya kusimamisha jinai za Israel
Jun 13, 2024 08:13Ali Bagheri Kani, Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran, amesisitiza nchi za Kiislamu kuchukua hatua ya kivitendo kwa ajili ya kukomesha jinai za Wazayuni huko Katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
OIC yataka Israel ibebeshwe dhima kwa jinai dhidi ya Wapalestina
May 06, 2024 07:12Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeitaka jamii ya kimataifa ichukue hatua na kuubebesha dhima utawala wa Kizayuni wa Israel, kutokana na jinai na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo haramu dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Kuendelea kuimarika uhusiano wa kiuchumi wa Iran na nchi za Kiislamu
Apr 13, 2024 02:11Mkuu wa Forodha wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa, biashara kati ya Iran na nchi 56 wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) mwaka 1402 Hijria Shamsiya iliongezeka kwa asilimia 19 na kufikia dola bilioni 61.
-
OIC yaziomba nchi zote duniani zisiuuzie silaha utawala wa Kizayuni wa Israel
Feb 27, 2024 11:20Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) amezitaka nchi zote duniani kuacha kutuma silaha na zana za kijeshi kwa utawala unaofanya mauaji ya kimbari wa Israel.
-
Iran yatoa mwito wa kufanyika kikao cha dharura cha OIC kujadili mashambulio ya Israel Rafah
Feb 16, 2024 07:57Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa wito wa kuitishwa kikao cha dharura cha Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kutokana na hali mbaya ya kibinadamu inayoshuhudiwa katika Ukanda wa Ghazza hususan kwenye mji wa Rafah ambao unakabiliwa na hatari kubwa ya uvamizi unaokaribia kufanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kan'ani: Azimio la mwisho la kikao cha wakuu wa nchi za Kiislamu nchini Saudi Arabia lina nguvu na thabiti
Nov 12, 2023 13:31Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema, mapendekezo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamejumuishwa katika azimio la mwisho la kikao cha wakuu wa nchi za Kiislamu nchini Saudi Arabia, na ibara na maneno ya azimio hilo ni yenye nguvu na imara.
-
Iran yaunga mkono taarifa ya OIC inayolaani tishio la nyuklia la Israel
Nov 12, 2023 13:03Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameunga mkono taarifa iliyotolewa na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) inayolaani vitisho vya utawala ghasibu wa Israelkuhusu kutumia silaha za nyuklia Ukanda wa Gaza.
-
Uungaji mkono wa pamoja wa Serikali na wananchi wa mataifa ya Kiislamu kwa Palestina
Oct 21, 2023 06:16Moja ya matunda muhimu yaliyopatikana kutokana na jinai za kinyama na za kutisha zilizofanywa, na zinazoendelea kufanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina ni kujitokeza msimamo na mwafaka wa pamoja wa Serikali na wananchi wa mataifa ya Kiislamu katika kuiunga mkono Palestina.
-
Abdollahian: Tunataraji kuona uhalifu wa kivita dhidi ya Gaza ukikomeshwa haraka
Oct 19, 2023 14:14Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, tunataraji kuona uhalifu wa kivita dhidi ya Gaza ukikomeshwa haraka iwezekanavyo.