-
Hofu yatanda baada ya Somalia kutuma wanajeshi katika mpaka na Kenya
Dec 15, 2020 09:54Masaa machache baada ya Somalia kutangaza kukata uhusiano wa kidiplomasia na Kenya, Jeshi la Kitaifa la Somalia (SNA) limetuma idadi kubwa ya askari katika eneo moja la mpaka wa pamoja wa nchi hizo mbili.
-
Somalia yawafukuza wanadiplomasia wote wa Kenya, yawataka wake warudi nyumbani
Dec 15, 2020 04:38Serikali ya Somalia imetangaza kusitisha uhusiano wake na Kenya ikidai kwamba Serikali ya Kenya inaingilia masuala yake ya ndani.
-
Waziri Mkuu wa Ethiopia atembelea Kenya
Dec 09, 2020 08:42Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed leo ametembelea Kenya na kujiunga na Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo katika ufunguzi wa kituo kipya cha mpakani cha Moyale katika Kaunti ya Marsabit.
-
Somalia yamtimua balozi wa Kenya na kumwita nyumbani balozi wake aliyeko Nairobi
Nov 30, 2020 08:06Somalia imemwita nyumbani balozi wake aliyeko Nairobi sambamba na kumpa masaa 24 balozi wa Kenya mjini Mogadishu awe ameondoka katika ardhi ya Somalia.
-
Rais Uhuru ahutubia taifa huku akiahidi mustakbali mwema wa nchi
Nov 12, 2020 10:57Rais Uhuru Kenya wa Kenya leo Alhamisi amehutubia taifa kwa mara ya saba bungeni jijini Nairobi akiwaambia Wakenya kwamba taifa hilo lingali lina nguvu, jasiri na lenye matarajio ya mustakbali mwema.
-
Walioathiriwa kiuchumi na corona Mombasa, Kenya kupata msaada wa kifedha
Oct 31, 2020 23:28Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani WFP kwa kushirikiana na serikali ya Kenya limezindua mpango wa ugawaji fedha taslimu kwa familia 24,000 mjini Mombasa, Kenya katika makazi yasiyo rasmi ambao maisha yao yamesambaratika kiuchumi kutokana na janga la COVID-19 au corona.
-
Magoha: Kesi mpya za Covid-19 hazitapelekea kufungwa shule Kenya
Oct 23, 2020 12:07Waziri wa Elimu wa Kenya George Magoha amekataa suala la kufungwa shule kwa sababu ya kesi mpya za Covid-19 zilizoripotiwa kati ya wanafunzi na walimu baada ya wanafunzi wa darasa la 4, darasa la 8 na Kidato cha Nne kurejea mashuleni.
-
Waziri wa Afya Kenya aonya kuhusu hatari ya kuongezeka maambukizi ya COVID-19
Oct 18, 2020 23:35Waziri wa Afya nchini Kenya Mutahi Kagwe ameonya kuwa kuna uwezekano nchi hiyo ikakumbwa na maafa kutokana na wananchi, hasa vijana, kupuuza kanuni za kiafya za kuzuia maambukizi ya corona au COVID-19.
-
Somalia, Cuba zakanusha madai ya kuachiwa huru madaktari waliotekwa na al-Shabaab
Oct 08, 2020 23:07Serikali za Somalia na Cuba zimekanusha madai ya kuachiwa huru madaktari wawili wa Cuba waliotekwa nyara na kundi la kigaidi la al-Shabaab mwaka jana nchini Kenya.
-
Wanajeshi wa Kenya na Somalia washambuliana kwa risasi mpakani
Sep 27, 2020 04:32Wanajeshi wa Kenya na Somalia wamekabiliana kwa risasi katika mpaka wa pamoja wa nchi mbili hizo jirani za Afrika Mashariki.