-
Watu 75 waripotiwa kupoteza maisha kwa ugonjwa wa kipindupindu nchini Kenya
Jun 18, 2018 10:52Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afya nchini Kenya imesema kuwa, jumla ya watu 75 wamepoteza maisha kwa ugonjwa wa kipindupindu tangu mwanzoni mwa mwaka huu.
-
Maafisa wanane wa polisi wa Kenya wauawa katika Kaunti ya Wajir
Jun 17, 2018 22:03Maafisa wasiopungua wanane wa polisi wameuawa baada ya gari lao kukanyaga bomu katika eneo la Bojigaras, kwenye Kaunti ya Wajir huko kaskazini mashariki mwa Kenya.
-
Mgogoro wa kidiplomasia kati ya Kenya na Uganda wanukia tena
Jun 13, 2018 03:25Mgogoro mwingine wa kidiplomasia kati ya Kenya na Uganda unanukia. Hii ni baada ya makumi ya wahamiaji haramu raia wa Uganda kukamatwa na maafisa wa polisi wa Kenya katika mpaka wa nchi mbili hizo.
-
Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds nchini Kenya 2018
Jun 09, 2018 08:38Siku ya Kimataifa ya Quds ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mwaka huu imesadifiana na tarehe 8 Juni 2018 na imefanyika kwa kufana zaidi duniani kuliko miaka yote iliyopita. Hapa tumeweka baadhi ya picha za maandamano ya siku hiyo nchini Kenya.
-
Kenya yaomboleza ajali ya ndege ndogo iliyoua watu 10
Jun 07, 2018 11:05Rais Uhuru Kenyatta analiongoza taifa la Kenya katika kuomboleza vifo vya watu 10 waliopoteza maisha katika ajali ya ndege iliyotokea katika eneo la milima ya Aberdares mjini Kinangop kaunti ya Nyandarua, kaskazini mwa mji mkuu Nairobi.
-
Kenya yatakiwa kukata uhusiano na utawala pandikizi wa Israel +SAUTI
Jun 07, 2018 10:28Wanaharakati wa vuguvugu la Muungano wa Kenya na Palestina wameapa kuishinikiza serikali kusitisha uhusiano na serikali ya kidhalimu ya Israel na washirika wake wa karibu kama vile Marekani, baada ya madola hayo kuendeleza hujuma za wazi dhidi ya Wapalestina na kuikalia ardhi yao kwa mabavu.
-
Mahojiano na Mwenyekiti wa Harakati ya Kenya na Palestina kuhusu Siku ya Quds+SAUTI
Jun 07, 2018 09:31Mwandishi wa Radio Tehran mjini Mombasa, Seifullah Murtadha amezungumza na Mwenyekiti wa Harakati ya Mshikamano wa Kenya na Palestina, Bw. Abdulqadir Nasser kuhusu umuhimu wa Siku ya Quds.
-
Plastiki zapigwa vita katika Siku ya Mazingira Duniani
Jun 05, 2018 02:56Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kukataa matumizi ya plastiki zinazotumika mara moja na kutupwa.
-
Siku ya Kimataifa ya Quds Kufanyika Nairobi, Kenya
Jun 04, 2018 23:21Wapenda haki na amani nchini Kenya watajiunga na wenzao kote duniani katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds Ijumaa wiki hii.
-
Kenya yaweka historia, Rais Kenyatta azindua uuzaji mafuta nje + Sauti
Jun 03, 2018 14:11Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya leo amezindua rasmi usafirishaji wa mafuta ghafi ya petroli yaliyochimbwa nchini humo na kwa utaratibu huo nchi hiyo imeanza mkakati wa kuuza bidhaa hiyo katika soko la kimataifa.