Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Mitandao ya kijamii yalaumiwa kwa kuporomoka maadili Kenya + Sauti

    Mitandao ya kijamii yalaumiwa kwa kuporomoka maadili Kenya + Sauti

    Jun 03, 2018 01:11

    Visa vya watoto wenye umri wa chini ya miaka 18 kunyanyaswa kijinsia nchini Kenya vimekithiri na kuipa changamoto Serikali kuushinikiza mhimili wa mahakama kuwaadhibu ipasavyo wahalifu wa uovu huo.

  • 'Udugu' na 'Vita dhidi ya Ufisadi' vyatawala maadhimisho ya Siku ya Madaraka Kenya

    'Udugu' na 'Vita dhidi ya Ufisadi' vyatawala maadhimisho ya Siku ya Madaraka Kenya

    Jun 01, 2018 11:19

    Wakenya wameadhimisha Siku ya Madaraka huku kaulimbiu ya mwaka huu ikiwa mbele pamoja.

  • Wakenya waandamana kulaani ufisadi wa kifedha serikalini

    Wakenya waandamana kulaani ufisadi wa kifedha serikalini

    May 31, 2018 10:18

    Mamia ya wananchi wa Kenya wamefanya maandamano hii leo katika mji mkuu Nairobi, kulalamikia kiwango kikubwa cha ufisadi wa fedha nchini humo.

  • Maafisa 40 wa NYS nchini Kenya wakamatwa katika sakata la ufisadi

    Maafisa 40 wa NYS nchini Kenya wakamatwa katika sakata la ufisadi

    May 28, 2018 10:52

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza azma madhubuti ya serikali yake ya kupambana na ufisadi.

  • Somalia yakadhibisha madai ya Kenya ya kuwa tayari kufanya mazungumzo kuhusu mzozo wa mipaka

    Somalia yakadhibisha madai ya Kenya ya kuwa tayari kufanya mazungumzo kuhusu mzozo wa mipaka

    May 22, 2018 04:59

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Somalia imekanusha madai yaliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Kenya kuwa iko tayari kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na nchi hiyo kuhusiana na mgogoro wa mipaka yao ya pamoja ya baharini.

  • Miguna: Muungano wa upinzani Kenya NASA umekufa, aitangaza NRM kuwa chama kipya cha upinzani

    Miguna: Muungano wa upinzani Kenya NASA umekufa, aitangaza NRM kuwa chama kipya cha upinzani

    May 17, 2018 00:16

    Mwanasheria wa upinzani nchini Kenya Miguna Miguna na ambaye pia amejitangaza kuwa kinara wa vuguvugu la National Resistance Movement (NRM) nchini Kenya amesema kuwa, Muungano wa Upinzani wa nchi hiyo NASA umekufa na ODM sio chama cha upinzani tena baada ya chama hicho kuanza kushirikiana na chama tawala cha Jubilee.

  • Rais Kenyatta asaini sheria kali kwa wahalifu mitandaoni

    Rais Kenyatta asaini sheria kali kwa wahalifu mitandaoni

    May 16, 2018 09:29

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameidhinisha Sheria za Uhalifu wa Kompyuta na Mtandaoni wa 2018 ambazo zinatoa adhabu kali sana kwa watakaopatikana na makosa ya mtandaoni ikiwa ni pamoja na kueneza habari bandia au feki.

  • Walioaga dunia baada ya bwawa kuvunja kingo zake nchini Kenya wapindukia 40

    Walioaga dunia baada ya bwawa kuvunja kingo zake nchini Kenya wapindukia 40

    May 10, 2018 10:16

    Watu zaidi ya 40 wamepoteza maisha baada ya bwala la umeme la shirika moja la kibinafsi kuvunja kingo zake katika eneo la Bonde la Ufa nchini Kenya.

  • Kenya yazionya nchi za Kiarabu ziache kushadidisha mgogoro wa Somalia

    Kenya yazionya nchi za Kiarabu ziache kushadidisha mgogoro wa Somalia

    May 08, 2018 03:27

    Serikali ya Kenya imezionya nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi, hasa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuacha kuchochea mgogoro wa Somalia na kuidhoofisha serikali ya nchi hiyo.

  • Kenya yajiunga na Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia AIIB

    Kenya yajiunga na Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia AIIB

    May 04, 2018 23:34

    Kenya imejiunga na na Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia AIIB ikiwa ni katika jitihada za nchi hiyo kutafuta fursa mpya za kuijiimarisha kiuchumi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS