Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Raila Odinga kuushitaki mtandao wa Facebook na Cambridge Analytica kwa kutumia jina lake kuchochea ghasia

    Raila Odinga kuushitaki mtandao wa Facebook na Cambridge Analytica kwa kutumia jina lake kuchochea ghasia

    Mar 27, 2018 12:26

    Kinara wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amesema kuwa, ataushtaki mtandao wa kijamii wa Facebook pamoja na kampuni ya Cambridge Analytica kwa kutumia jina lake katika kuendesha kampeni ya uchochezi na uhasama wa kikabila kwa ajili ya kuhujumu malengo yake ya kuwa rais wa Kenya hasa katika kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka jana 2017.

  • Mwanasheria mkuu mteule Kenya, Kihara Kariuki, ajitetea bungeni

    Mwanasheria mkuu mteule Kenya, Kihara Kariuki, ajitetea bungeni

    Mar 22, 2018 11:22

    Paul Kihara Kariuki aliyeteuliwa kuchukua nafasi ya Mwanasheria Mkuu nchini Kenya leo amefika bungeni na kujitetea akiahidi kulinda Katiba na Sheria za nchi na kuishauri serikali vilivyo, bila kushawishiwa kisiasa ama kwa njia nyingine yoyote.

  • Muungano wa Makanisa Kenya: Asilimia kubwa ya Wakristo ni wachawi na washirikina

    Muungano wa Makanisa Kenya: Asilimia kubwa ya Wakristo ni wachawi na washirikina

    Mar 20, 2018 04:41

    Muungano wa makanisa nchini Kenya umetangaza kuwa, uchawi na ushirikina umekumbatiwa zaidi na Wakenya, kuliko wanavyomuamini Mungu.

  • Polisi 1400 wajiuzulu Kenya kwa kupunguziwa mishahara

    Polisi 1400 wajiuzulu Kenya kwa kupunguziwa mishahara

    Mar 19, 2018 11:53

    Maafisa 1,400 wa polisi wamejiuzulu wakilalamikia hatua ya Tume ya Huduma ya Polisi (NPSC) kupunguza mishahara yao.

  • ICC yatangaza majaji wapya kushughulikia kesi za Kenya zilizoporomoka

    ICC yatangaza majaji wapya kushughulikia kesi za Kenya zilizoporomoka

    Mar 17, 2018 12:29

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imechagua majaji wapya kushughulikia mafaili ya kesi zilizoporomoka za Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na naibu wake, Bw William Ruto kuhusu ghasia za baada ya uchaguzi wa 2007.

  • Abbas Gullet: Wakimbizi wapatao 10,000 kutoka Ethiopia wameingia nchini Kenya mwezi huu pekee

    Abbas Gullet: Wakimbizi wapatao 10,000 kutoka Ethiopia wameingia nchini Kenya mwezi huu pekee

    Mar 17, 2018 04:22

    Katibu Mkuu wa Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Kenya ametangaza kuwa, wakimbizi wapatao 10,000 kutoka Ethiopia wameingia nchini humo tangu kuanza mwezi huu wa Machi.

  • Raia wawili wa Iran wamshitaki mwanasheria mkuu wa Kenya kwa kuwazuia katika mazingira mabaya

    Raia wawili wa Iran wamshitaki mwanasheria mkuu wa Kenya kwa kuwazuia katika mazingira mabaya

    Mar 14, 2018 04:08

    Raia wawili wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran waliokuwa wanashikiliwa nchini kenya kwa tuhuma za ugaidi, wamemshitaki mwanasheria mkuu wa Kenya kwa hatua yake ya kukaidi agizo la Mahakama ya Juu ya nchi hiyo lililotaka washikiliwe katika mazingira salama.

  • Kenya kuisaidia Somalia kuiumarisha mfumo wa sheria

    Kenya kuisaidia Somalia kuiumarisha mfumo wa sheria

    Mar 09, 2018 03:18

    Mwanasheria mkuu wa Kenya, Githu Muigai amesema, nchi yake itaisaidia Somalia kuimarisha mfumo wake wa sheria, ili kukabiliana vizuri zaidi na na changamoto za kijamii na kisiasa.

  • SAUTI, Shambulizi la magaidi wa ash-Shabab lililopelekea mauaji ya askari 5 wa Kenya asubuhi ya Ijumaa hii

    SAUTI, Shambulizi la magaidi wa ash-Shabab lililopelekea mauaji ya askari 5 wa Kenya asubuhi ya Ijumaa hii

    Mar 02, 2018 13:45

    Askari polisi watano wa Kenya wameuawa na wengine watatu kujeruhiwa baada ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab kushambulia kambi mbili za maafisa usalama katika mji wa Fino katika kaunti ya Mandera.

  • Al-Shabaab yaua askari polisi 5 wa Kenya kaunti ya Mandera

    Al-Shabaab yaua askari polisi 5 wa Kenya kaunti ya Mandera

    Mar 02, 2018 04:24

    Askari polisi watano wa Kenya wameuawa na wengine watatu kujeruhiwa baada ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab kushambulia kambi mbili za maafisa usalama katika mji wa Fino katika kaunti ya Mandera.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS