Rais Kenyatta awaomba radhi Wakenya (SAUTI)
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i43958-rais_kenyatta_awaomba_radhi_wakenya_(sauti)
Alihutubia taifa kupitia Bunge la nchi hiyo ya Afrika Mashariki...
(last modified 2026-03-17T04:36:21+00:00 )
May 02, 2018 14:05 UTC

Alihutubia taifa kupitia Bunge la nchi hiyo ya Afrika Mashariki...

Wakenya wametakiwa kuombana radhi kwa madhila waliosababishiana katika kipindi cha uchaguzi mkuu uliopita, ambapo makumi ya watu walifariki dunia huku mali ya mamilioni ya pesa zikiharibiwa. Wito huo umetolewa na Rais Uhuru Kenyatta akilihutubia taifa kupitia bunge la nchi hiyo.

Mwandishi wetu Seifullah Murtadha ana maelezo zaidi akiripoti kutoka Mombasa....