-
SID: Serikali ya Jubilee nchini Kenya imeshindwa kupambana na ufisadi
Dec 15, 2016 03:23Shirika la kutetea haki za umma la SID limetangaza kuwa SERIKALI ya Jubilee nchini Kenya imetimiza ahadi moja pekee kati ya 30 ilizotoa kuhusiana na mikakati ya kupambana na ufisadi.
-
Kenyatta: Kenya inatathmini kwa kina mpango wa kujiondoa ICC
Dec 13, 2016 04:10Kwa mara nyingine tena Kenya imeweka bayana azma ya kuangalia upya uhusiano wake na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Kenya yakanusha madai ya kutekwa mji wake mpakani na Somalia
Dec 12, 2016 03:38Vyombo vya usalama nchini Kenya vimekadhibisha habari zilizoenea katika mitandao ya kijamii kuwa mji wa Elwak ulioko katika mpaka wa nchi hiyo na Somalia umetekwa na wanamgambo wa kigaidi wa al-Shabaab.
-
Ajali ya lori la mafuta yaua watu wasiopungua 25 nchini Kenya
Dec 11, 2016 00:09Mripuko wa lori lililobeba shehena ya mafuta katika barabara moja kuu nchini Kenya umeua watu wasiopungua 25.
-
Madaktari na wauguzi Kenya watishia kupanua wigo wa mgomo wao
Dec 09, 2016 01:02Madaktari na wauguzi wa hospitali za serikali nchini Kenya ambao wanaingia katika siku yao ya tano ya mgomo wao wametishia kuwa watapanua wigo wa mgomo huo endapo serikali haitasikiliza matakwa yao.
-
Mgomo wa madaktari Kenya waingia siku ya 3, 20 waaga dunia
Dec 07, 2016 03:59Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na mgomo wa madaktari na wauguzi katika hospitali za umma nchini Kenya imeongezeka na kufikia watu 20.
-
Madaktari Kenya wagoma, polisi yatumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya
Dec 05, 2016 13:39Madaktari wanaofanya kazi katika hospitali za serikali nchini Kenya leo wamefanya mgomo wakitaka kutimizwa makubaliano yaliyofikiwa mwaka 2013 kati ya muungano wao na serikali kuhusu kuongezwa mishahara na kuboreshwa mazingira ya kufanyia kazi.
-
Oparesheni ya Kenya ya kukusanya silaha katika mipaka yake na Somalia na Ethiopia
Dec 05, 2016 08:50Serikali ya Kenya imetangaza kuwa, inakusudia kutekeleza mpango wa kukusanya silaha katika maeneo ya nchi hiyo yanayopakana na nchi za Somalia na Ethiopia.
-
Kenya kutekeleza mpango wa upokonyaji silaha katika mipaka yake na Somalia na Ethiopia
Dec 05, 2016 03:28Serikali ya Kenya imetangaza kuwa, inakusudia kutekeleza mpango wa upokonyaji silaha katika maeneo ya nchi hiyo yanayopakana na nchi za Somalia na Ethiopia.
-
SAUTI: Wasiwasi wa kuanza wimbi jipya la mashambulizi ya kigaidi nchini Kenya
Nov 30, 2016 14:45Idara ya polisi Kenya imetoa tahadhari kufuatia njama ya kundi la Al Shabaab na kundi la kitakfiri la Daesh kupanga kuvamia magari ya umma katika maeneo ya mipaka pamoja na miji ya pwani kama vile Mombasa. Kenya imekuwa ikishambuliwa na magaidi tangu kikosi cha jeshi lake kuelekea nchini Somalia kusaidia kulinda amani katika ngome zinazokaliwa kimabavu na wafuasi wa kundi la ash Shabab.