Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • 'Jordan, UK zinaisaidia Kenya kukabiliana na Al Shabab'

    'Jordan, UK zinaisaidia Kenya kukabiliana na Al Shabab'

    Mar 28, 2016 02:42

    Imedaiwa kuwa Jordan na Uingerea zinashirikiana kwa siri kuisaidia Kenya kukabiliana na kundi la kigaidi la Al Shabab.

  • Magaidi 70 wa al Shabab wauawa na jeshi la Somalia

    Magaidi 70 wa al Shabab wauawa na jeshi la Somalia

    Mar 22, 2016 03:34

    Magaidi zaidi ya 70 wa kundi la kitakfiri la al Shabab wameuawa katika mapigano na Jeshi la Somalia kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Al-Shabaab: Tumeua wanajeshi 73 wa Somalia, Lower Shabelle

    Al-Shabaab: Tumeua wanajeshi 73 wa Somalia, Lower Shabelle

    Mar 21, 2016 11:45

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab limedai kuwaua askari 73 wa jeshi la taifa la Somalia, katika makabiliano makali yaliyotokea jana huko Shabelle ya Chini, yapata kilomita 60 kusini mwa mji mkuu, Mogadishu.

  • Jeshi la Kenya laua magaidi 34 wa al-Shabab Somalia-MPYA UPDATE 2

    Jeshi la Kenya laua magaidi 34 wa al-Shabab Somalia-MPYA UPDATE 2

    Mar 20, 2016 12:22

    Jeshi la Kenya limewaangamiza magaidi 21 wa kundi la kitakfiri la al Shabab kufuatia mapigano makali katika nchi jirani ya Somalia.

  • Magaidi 19 wa al Shabab wauawa Somalia

    Magaidi 19 wa al Shabab wauawa Somalia

    Mar 17, 2016 03:48

    Jeshi la Kenya limetangaza kuwa wapiganaji 19 wa kund la kigaidi la al Shabab wameuawa huko kusini mwa Somalia.

  • Polisi wa Uganda wawazuia raia wa Kenya waishio kisiwa cha Migingo kutumia simu za mikononi

    Polisi wa Uganda wawazuia raia wa Kenya waishio kisiwa cha Migingo kutumia simu za mikononi

    Mar 14, 2016 23:29

    Duru za habari nchini Kenya zimeripoti kuwa, polisi wa kisiwa cha Migingo kinachodhibitiwa na Uganda, wamepiga marufuku Wakenya wanaoishi katika kisiwa hicho kuwasiliana kwa simu.

  • Theluthi moja ya bajeti ya Kenya inapotea kwa ufisadi

    Theluthi moja ya bajeti ya Kenya inapotea kwa ufisadi

    Mar 10, 2016 13:11

    Mkuu mpya wa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi nchini Kenya (EACC) amesema theluthi moja ya bajeti ya nchi hiyo inapotea kutokana na ufisadi.

  • Mhubiri Mkristo Mmarekani aliyewanyanyasa mayatima kingono huko Kenya afungwa

    Mhubiri Mkristo Mmarekani aliyewanyanyasa mayatima kingono huko Kenya afungwa

    Mar 08, 2016 11:18

    Mhubiri Mkristo wa Marekani amehukumiwa miaka 40 jela kwa kuwanyanyasa kingono watoto katika kituo kimoja cha mayatima chini Kenya.

  • Waliojaribu kuingiza bomu kambi ya GSU Kenya wakamatwa

    Waliojaribu kuingiza bomu kambi ya GSU Kenya wakamatwa

    Mar 02, 2016 23:37

    Vyombo vya usalama nchini Kenya vimesema vinawashikilia watu wawili akiwemo afisa wa zamani wa polisi kwa tuhuma za kujaribu kuingiza bomu kwenye kambi ya polisi wa kuzima fujo (GSU) wakati wa hafla za mahafali ambapo Rais Uhuru Kenyatta ndiye aliyekuwa mgeni wa heshima.

  • Kenya yatangaza hali ya tahadhari

    Kenya yatangaza hali ya tahadhari

    Mar 01, 2016 08:42

    Kenya imetangaza hali ya tahadhari kutokana na wasiwasi wa uwezekano wa kutokea mashambulio ya kigaidi katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS