-
Muhammad Islami: Wazayuni wameulemaza Umoja wa Mataifa
Dec 18, 2024 02:58Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran amesema kuwa, kivitendo Wazayuni wameulemaza Umoja wa Mataifa na taasisi hiyo iliyokuwa ikipigania haki za binadamu na uadilifu hivi sasa imepoteza kabisa ufanisi na uutendaji wake.
-
Iran: Adui anatiwa kiwewe na ustawi na maendeleo yetu ya nyuklia
Sep 07, 2024 03:12Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran amezungumzia maendeleo ya kupigiwa mfano iliyopata Jamhuri ya Kiislamu katika upande wa nishati ya nyuklia na kusema kuwa, licha ya kuweko vikwazo haramu vya Marekani dhidi yetu, lakini tumepiga hatua kubwa za maendeleo; na mabeberu wanatiwa kiwewe na ustawi wetu wa nyuklia.
-
Juhudi za wajumbe wa Kiislamu katika Kongamano la Kitaifa la Democratic kwa ajili ya kuiwekea vikwazo Israel
Aug 20, 2024 05:56Makumi ya wajumbe na makundi ya Kiislamu yanayokerwa na uungaji mkono wa Marekani kwa mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza, wanapanga kufanya mabadiliko katika mpango wa uchaguzi wa Chama cha Democratic na kutilia mkazo suala la kuwekwa vikwazo vya silaha dhidi ya Israel.
-
Kan'ani Chafi: Mataifa ya Kiislamu yanapaswa kutoa uungaji mkono athirifu zaidi kwa haki za Wapalestina
Aug 04, 2024 12:40Nasser Kan'ani, msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran, ametoa wito kwa serikali za Kiislamu kuunga mkono haki za Wapalestina kwa ufanisi zaidi.
-
Mkutano wa 18 wa kimataifa wa nchi za Kiislamu wafunguliwa Russia kwa salamu za Rais wa Iran
Dec 09, 2022 02:41Mkutano wa 18 wa kimataifa unaofanyika kwa anuani ya "Uislamu, Uadilifu na Mlingano, Misingi ya Dini na Nidhamu ya Ulimwengu" umeanza rasmi katika mji mkuu wa Russia, Moscow na kufunguliwa kwa salamu za Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran: Kamera za usalama kwa sasa hazitawashwa
Jul 25, 2022 11:20Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema kuwa, iwapo tuhuma dhidi ya miradi ya nyuklia ya Iran zitaendelezwa hakuna sababu ya kuwepo kamera katika taasisi za nyuklia za Iran.
-
Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki: Makelele ya kisiasa dhidi ya Iran hayaathiri chochote
Jun 17, 2022 03:44Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran AEOI amesema: makelele ya kisiasa na mashinikizo dhidi ya Iran hayakuwa na matokeo yoyote huko nyuma na hivi sasa pia hayatakuwa na athari yoyote.
-
Vituo vya Kiislamu vya Russia vyalaani mashambulizi ya kipropaganda ya Magharibi dhidi ya nchi hiyo
Mar 17, 2022 08:51Vituo vya Kiislamu vya Russia vimelaani propaganda za chuki za nchi za Magharibi dhidi ya Moscow na ubaguzi dhidi ya raia wa Russia.
-
Mwanaharakati wa Ufaransa: Sheria ya karibuni dhidi ya Uislamu inahalalisha ubaguzi dhidi ya Waislamu
Aug 02, 2021 10:14Mwanaharakati mmoja wa haki za binadamu wa nchini Ufaransa amesema kuwa sheria iliyopitishwa karibuni na bunge la nchi hiyo inahalalisha kisheria kufanyika ubaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu wa nchi hiyo.
-
Wasiwasi kuhusu vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu nchini Uswisi
Mar 11, 2021 00:48Kuenea chuki dhidi ya Uislamu katika nchi za Magharibi na hasa barani Ulaya katika miaka ya karibuni kumeibua matukio na radiamali tofauti.