-
Kumalizika muda wa Azimio 2231 la Baraza la Usalama; Iran yasisitiza kuondolewa vikwazo, yaungwa mkono na nchi 121
Oct 18, 2025 12:41Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa ikitangaza kumalizika muda wa Azimio nambari 2231.
-
Spika Qalibaf: Snapback ni batili, Iran itajibu mapigo
Sep 28, 2025 11:45Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad-Baqer Qalibaf amepinga uamilishaji wa utaratibu wa snapback wa kurejeshewa Iran vikwazo, na kuitaja hatua hiyo kuwa ni kinyume cha sheria; huku akisisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu haina wajibu wa kuheshimu uamuzi huo ulioshinikizwa na Troika ya Ulaya.
-
"Vikwazo vya Marekani, Ulaya vimeua watu milioni 38 tangu 1970"
Sep 04, 2025 07:42Tahariri iliyoandikwa na tovuti ya habari ya kanali ya televisheni ya al-Jazeera ya Qatar imekosoa muenendo wa nchi za Magharibi kutumia vikwazo kuziadhabu nchi zinazozitazama kama maadui; ikieleza kuwa, vikwazo vya Marekani na Umoja wa Ulaya vimeua watu zaidi ya milioni 38 kote duniani tangu 1970.
-
ICC: Vikwazo vya US ni hujuma dhidi ya mamilioni ya wahanga wa jinai
Aug 21, 2025 05:43Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imetumia maneno makali kuilaani Marekani, kwa hatua yake ya hivi karibuni ya kuwawekea vikwazo majaji wa mahakama hiyo, kutokana na juhudi zao za kuwafungulia mashitaka maafisa Marekani na Israel wanaotuhumiwa kuhusika na uhalifu wa kivita na aina nyingine za ukatili.
-
"Iwapo maadui wangeliamini Iran inaweza kushindwa, wasingejadiliana"
May 23, 2025 03:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesisitiza kuwa, jukumu la msingi la wizara hiyo ni kujitahidi kuondosha vikwazo na kuongeza kuwa, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje anayesimamia Diplomasia ya Kiuchumi na balozi za Iran nje ya nchi zinapaswa kuwezesha mchakato huo na kuondolewa vikwazo vyote dhidi ya taifa hili.
-
Russia: Hatukimbizani na yeyote ili kupata ahueni ya vikwazo
Apr 15, 2025 07:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov amesema katika hali ambayo biashara kati ya nchi hiyo na Marekani imeshuhudia mdororo mkubwa kutokana na "vikwazo haramu vya Washington," lakini Moscow "haikimbizani na mtu yeyote" kwa ajili ya kuondolewa vizuizi hivyo.
-
Iran: Vikwazo vipya vimefichua unafiki wa Washington
Mar 15, 2025 07:12Iran imelaani vikali vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu, Mohsen Paknejad na baadhi ya taasisi na meli zinazohusika na mauzo ya nje ya mafuta ya nchi hii na kusisitiza kuwa, vikwazo hivyo ni ithibati ya "ukiukaji wa sheria na unafiki" wa Washington.
-
Kamanda Salami wa IRGC : Hatutasalimu amri mbele ya tishio lolote
Feb 07, 2025 07:56Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC amesema nguvu za Iran na historia yake pana inaifanya isiweze kutetereshwa na mashinikizo ya nje.
-
Iran: Tuko tayari kuanzisha upya mazungumzo ya kuondoa vikwazo
Jan 22, 2025 02:50Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na Masuala ya Kisheria, Kazem Gharibabadi amesema kuna misingi na fursa zinazofaa za kuanzisha tena mazungumzo na pande nyingine.
-
Iran yamwita balozi wa Hungary kulalamikia vikwazo vipya vya EU
Oct 16, 2024 07:10Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imemuita balozi wa Hungary mjini Tehran na kumkabidhi malalamiko makali ya Jamhuri ya Kiislamu kwa vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya shakhsia na taasisi kadhaa za Iran.