-
Iran yamwita balozi wa Hungary kulalamikia vikwazo vipya vya EU
Oct 16, 2024 03:40Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imemuita balozi wa Hungary mjini Tehran na kumkabidhi malalamiko makali ya Jamhuri ya Kiislamu kwa vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya shakhsia na taasisi kadhaa za Iran.
-
Iran: Mafanikio yetu katika uga wa teknolojia ni pigo kwa maadui
Sep 15, 2024 03:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, hatua ya satelaiti ya utafiti ya Iran iliyopewa jina la "Chamran-1" kurushwa katika anga za mbali kwa mafanikio ni pigo kwa maadui wanaoliwekea taifa hili vikwazo visivyo na mantiki.
-
Umoja wa Ulaya kuwawekea vikwazo mawaziri wa Israel
Aug 29, 2024 23:10Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell amewataka mawaziri wa mambo ya nje wa EU kuzingatia vikwazo dhidi ya mawaziri wa Israel.
-
Mahakama Iran: Sharti US iwape fidia wagonjwa wa kipepeo kutokana na vikwazo
Jul 11, 2024 23:34Mahakama moja nchini Iran imeiagiza Marekani kulipa takriban dola bilioni 7 kama fidia kwa waathiriwa wa ugonjwa wa ngozi wa Epidermolysis Bullosa (EB) nchini Iran.
-
Waziri: Uzalishaji wa gesi ya Iran umeongezeka licha ya vikwazo
Mar 03, 2024 01:09Waziri wa Mafuta wa Iran amesema uzalishaji wa gesi ya Jamhuri ya Kiislamu umeendelea kuongezeka siku baada ya siku, licha ya vikwazo vya Wamagharibi dhidi ya sekta ya nishati ya taifa hili.
-
Sudan Kusini: Madola makubwa yanatumia vikwazo kubinya nchi zinazoendelea
Mar 02, 2024 08:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan Kusini amesema moja ya changamoto kuu zinazozikabili nchi maskini za ulimwengu wa tatu ni vikwazo vya madola makubwa duniani dhidi yazo.
-
Jumuiya ya ECOWAS yaiondolea vikwazo Niger
Feb 25, 2024 06:21Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika ECOWAS imetangaza habari ya kuiondolea Niger vikwazo vya kiuchumi na kifedha.
-
"US inakiuka Hati ya UN kwa kutishia kuiwekea tena vikwazo Venezuela"
Feb 01, 2024 08:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa vikali hatua ya Marekani ya kutishia kuiwekea upya vikwazo sekta ya mafuta ya Venezuela na kusisitiza kuwa, kkitendo hicho kinakanyaga Hati ya Umoja wa Mataifa na sheria ya kimataifa.
-
Tehran yalaani vikwazo vya EU dhidi ya Wizara ya Ulinzi ya Iran
Dec 12, 2023 23:17Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imekosoa vikali hatua ya Umoja wa Ulaya ya kuiwekea vikwazo Wizara ya Ulinzi ya nchi hii kwa madai bandia kuwa Jamhuri ya Kiislamu imeipa Russia ndege zisizo na rubani (droni) eti kwa ajili ya kutumika vitani huko Ukraine.
-
Muda wa vikwazo kwa makombora ya balestiki ya Iran umemalizika
Oct 18, 2023 22:56Vikwazo kwa mradi wa makombora ya balestiki ya Iran vilivyokuwa vimewekwa na Umoja wa Ulaya vilifikia kikomo Jumatano ya jana Oktoba 18, chini ya Azimio Nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ambalo liliidhinisha mkataba wa nyuklia wa JCPOA wa mwaka 2015.