-
Iran: Tutajibu mapigo ya vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya
Sep 17, 2023 01:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itajibu mapigo kwa hatua ya kujikariri ya Umoja wa Ulaya na Uingereza ya kuendelea kulisakama taifa hili kwa vikwazo.
-
Veto ya Russia yazima vikwazo vya UN dhidi ya Mali
Aug 31, 2023 23:34Russia imetumia kura yake ya turufu kuzuia pendekezo la Ufaransa la kurefusha muda wa vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Mali.
-
Iran: Mapinduzi, vikwazo ni vyombo vya mabeberu vya kuyakandamizi mataifa huru
Aug 19, 2023 23:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, madola ya kibeberu na ya kiistikbari yanatumia kila njia kuyakandamiza mataifa huru duniani.
-
Marekani yaziwekea vikwazo benki 14 za Iraq kwa kushirikiana na Iran
Jul 20, 2023 04:33Marekani imetangaza kuziwekea vikwazo benki 14 za Iraq kwa tuhuma za kushirikiana na Iran.
-
EU: Vikwazo vya Marekani vinakanyaga sheria za kimataifa
Jun 13, 2023 04:03Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema vikwazo vya Marekani mbali na kukiuka mamlaka ya kujitawala nchi nyingine duniani, lakini pia vinakanyaga sheria na kanuni za kimataifa.
-
Ujerumani yanunua mafuta ya Iran licha ya vikwazo vya Marekani
Jun 13, 2023 03:04Data zilizotolewa na Kituo cha Takwimu cha Ulaya cha Eurostat zimefichua kuwa, Ujerumani imeagiza shehena kubwa ya mafuta kutoka Iran kwa mara ya kwanza tokea mwaka 2018, licha ya vikwazo vya Marekani.
-
Iran na Oman zajadili kuondolewa vikwazo Tehran
Mar 25, 2023 03:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amir-Abdollahian amezungumza na mwenzake wa Oman, Badr Albusaidi kwa njia ya simu, na wawili hao wamejadili kuhusu hali ya sasa ya mazungumzo ya kuiondolea Jamhuri ya Kiislamu vikwazo vya kidhalimu.
-
Abdollahian: Iran itajibu mapigo ya vikwazo vipya vya EU na UK
Mar 21, 2023 22:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itajibu mapigo kwa hatua ya kujikariri ya Umoja wa Ulaya na Uingereza ya kuliwekea taifa hili vikwazo.
-
US yaziwekea vikwazo taasisi 39 kwa kuisaidia Iran 'kukwepa' vikwazo vya kifedha
Mar 10, 2023 04:06Marekani imetangaza kuyawekea vikwazo makumi ya mashirika kwa tuhuma za kuisaidia Iran kukwepa vizingiti vya Washington vya kuiweka Tehran nje ya mfumo wa kimataifa wa fedha.
-
Wallace: Vikwazo vya EU dhidi ya Russia vinahudumia maslahi ya Marekani
Feb 24, 2023 23:12Mbunge wa Bunge la Ulaya amevitaja vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia kuwa huduma kwa maslahi ya Marekani na uwendawazimu usio na kifani kwa niaba ya watu wa Ulaya.