-
Wafaransa wataka uchunguzi ufanyike kadhia ya kujiuwa bilionea wa Kimarekani
Aug 13, 2019 12:00Mawaziri kadhaa wa Ufaransa wametaka kuanza uchunguzi nchini humo kuhusu bilionea wa Kimarekani ambaye ametajwa kuwa alikuwa akijihusisha na magendo ya kuwauza wasichana na mabinti kwa ajili ya biashara ya ngono; bilionea ambaye alikuwa akimfadhili kifedha Rais Donald Trump wa Marekani.
-
Marekani yaanzisha uchunguzi kuhusu kifo cha bilionea Epstein akiwa jela
Aug 13, 2019 03:29Mwanasheria Mkuu wa Marekani amesema kuwa umeanzishwa uchunguzi kuhusu kifo cha kutatanisha cha bilionea aliyekuwa mfadhili na rafiki mkubwa wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo akiwa ndani ya jela ya nchi hiyo.
-
Kkiwango cha watoto na vijana wanaojiua nchini Marekani kimeongezeka
Jun 24, 2018 14:44Tovuti ya Intaneti ya New York Post imekutaja kuongezeka kiwango cha vitendo vya kujiua vijana na watoto wadogo nchini Marekani kuwa ni habari ya kuogofya kwa akina mama na akina baba.
-
Ripoti: Kila saa moja mwanafunzi mmoja hujiua nchini India, serikali yashtushwa
Jan 09, 2018 08:01Takwimu iliyotolewa na serikali ya India ni ya kushtua baada ya kuonyesha kwamba, ndani ya kila saa moja mwanafunzi mmoja hujiua nchini humo.
-
Kuongezeka pakubwa vitendo vya kujiua miongoni mwa wanajeshi wa Kizayuni
Jan 03, 2018 07:53Idadi ya wanajeshi wa Israel wanaojiua inazidi kuongezeka pakubwa kutokana na kulazimishwa kujiunga jeshini na kushindwa mtawalia utawala wa Kizayuni mbele ya muqawama wa Wapalestina.
-
Ongezeko kubwa la kujiua wanachuo lawatia wasiwasi viongozi wa Uingereza
Sep 02, 2017 14:49Taasisi moja ya nchini Uingereza imetangaza habari ya kuongezeka kupindukia kesi za kujiua na matatizo ya kiakili na kisaikolojia kati ya wanafunzi vya vyuo katika miaka ya hivi karibuni nchini humo.
-
Mke wa mufti wa Daesh Tal Afar ajiua na watoto wake watatu
Jul 31, 2017 15:36Duru za kuaminika nchini Iraq zimeripoti kuwa, mke wa mufti wa kundi la Daesh amejiua yeye na watoto wake watatu katika mji wa Tel Afar huko kaskazini mwa Iraq.
-
Afisa wa ngazi ya juu jeshini wa Israel ajiua, ongezeko la matatizo ya kisaikolojia latajwa
May 02, 2017 04:26Polisi ya utawala haramu wa Israel imetangaza habari ya kuokotwa mwili wa afisa wa ngazi ya juu jeshini aliyejiua, huko katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Kiongozi wa Serikali ajiua kwa kusailiwa nchini Misri
Jan 03, 2017 02:31Duru za habari za Misri zimetangaza habari ya kujiua Katibu Mkuu Mstaafu wa Baraza la Serikali ya nchi hiyo baada ya kutiwa mbaroni na maafisa wa Serikali.
-
Askari 500 wa Marekani walijiua mwaka jana
Apr 06, 2016 07:43Takaribani askari 500 wa Jeshi la Marekani walijiua mwaka jana na hivyo kuendeleza mkondo wa idadi kubwa ya wanajeshi wanaojiua nchini humo katika kipindi cha miaka saba iliyopita.