-
Waziri wa Awqaf Misri asisitiza kuhusu vita dhidi ya wenye misimamo mikali
Oct 28, 2016 23:08Waziri wa Awqaf nchini Misri amesisitiza kuhusu ulazima wa kukabiliana na misimamo mikali ya kidini sambamba na kuwepo jitihada za kueneza amani katika jamii.
-
Iran, Russia na Syria zasisitiza juu ya kuendeleza mapambano dhidi ya ugaidi
Oct 28, 2016 10:15Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiisamu ya Iran, Russia na Syria wamesisitiza juu ya azma ya nchi zao ya kuendeleza mapambano dhidi ya ugaidi.
-
Rouhani: Nchi za kibeberu zinafanya maonyesho ya kisiasa katika "vita dhidi ya ugaidi"
Oct 25, 2016 04:24Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema madola ya kibeberu na kiistikbari yanawachezea shere walimwengu sambamba na kufanya maonyesho ya kisiasa katika kile wanachokitaja kuwa 'vita dhidi ya ugaidi.'
-
Iran yazima njama za magaidi wakati wa Ashura
Oct 13, 2016 04:27Vyombo vya usalama nchini Iran vimetibua njama ya kutekelezwa mashambulizi ya kigaidi hapa nchini wakati wa maombolezo ya Ashura ya kukumbuka tukio chungu la kuuawa Shahidi Imam Hussein AS, mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW.
-
Mgogoro wa Syria na ukwamishaji wa viongozi wa Marekani
Oct 08, 2016 02:50Marekani imekuwa ikifanya njama mbalimbali za kukwamisha jitihada za kuutafutia ufumbuzi wa kisiasa mgogoro wa nchi ya Kiarabu ya Syria, suala ambalo limewafanya maafisa wa Umoja wa Mataifa washindwe kuvumilia na kuamua kuilalamikia Marekani kwa njama zake hizo.
-
Al-Azhar yasisitiza ulazima wa kukabiliana na ugaidi
Oct 04, 2016 11:36Sheikh Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri amesisitizia ulazima wa kukabiliana na ugaidi.
-
Sisitizo la Iran la kuendelea kuiunga mkono Syria katika kupambana na ugaidi
Sep 28, 2016 09:24Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaitakidi kuwa kulindwa umoja, mshikamano na ardhi yote ya nchi zote za Mashariki ya Kati ikiwemo Syria ni suala la msingi. Aidha ni jukumu lake kutoa msaada katika kupambana na ugaidi na kurejesha amani na usalama nchini Syria na kwamba kubadilishwa mipaka ya nchi hiyo hakuwezi kamwe kuwa na maslahi kwa eneo hili.
-
Marekani imepoteza maelfu ya mabilioni ya dola kwa kisingizio cha mashambulizi ya Septemba 11
Sep 19, 2016 22:14Matokeo ya utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu kimoja nchini Marekani yanaonyesha kuwa Washington imepoteza dola bilioni elfu tano kwa kile ilichokiita mapambano dhidi ya ugaidi, tangu kutokea mashambulizi ya Septemba 11 nchini humo.
-
Dakta Zarif: Hakuna ugaidi mzuri na mbaya; ugaidi upigwe vita na wote
Aug 30, 2016 02:31Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, walimwengu wote wanapaswa kusimama na kupambana na ugaidi na kwamba, hakuna ugaidi mzuri na mbaya.
-
Afrika Kusini yasisitiza mapambano dhidi ya ugaidi
Aug 23, 2016 03:13Rais wa Afrika Kusini amesisitiza kuunga mkono juhudi za mapambano dhidi ya ugaidi.