-
Mapambano dhidi ya ugaidi, ni wasiwasi mkuu wa wananchi wa Ufaransa
Jul 27, 2016 22:57Taasisi moja inayojihusisha na uchunguzi wa maoni ya ufaransa imeeleza kuwa suala la kuendesha mapambano dhidi ya ugaidi ni jambo linalowatia wasiwasi sana wananchi wa Ufaransa.
-
Dakta Velayati: Iran inasisitiza juu ya kupambana na utumiaji mabavu
Jul 18, 2016 23:51Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kiistratijia cha Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya udharura wa kuweko ushirikiano zaidi baina ya nchi za Bara Asia kwa ajili ya kufikia malengo ya ustawi na vita dhidi ya utumiaji mabavu na vitendo vya uchupaji mipaka.
-
Chad yataka kutengwe bajeti ya kupambana na ugaidi Afrika
Jul 18, 2016 00:13Rais Idris Deby wa Chad ametoa wito kwa nchi za Afrika kuanzishwa mfuko maalumu kwa ajili ya kupambana na ugaidi.
-
Hollande: Mapambano dhidi ya ugadi yatachukua muda
Jul 15, 2016 11:52Rais Francois Hollande wa Ufaransa amesema katika mkutano na vyombo vya habari katika mji wa Nice kuwa mapambano dhidi ya ugaidi yatachukua muda, kwa sababu adui angali anaendeleza mashambulizi yake.
-
Al Azhar, Misri yalaani mauaji ya kigaidi ya Nice
Jul 15, 2016 11:39Chuo Kikuu cha al Azhar nchini Misri kimetoa taarifa na kutaka kuwepo umoja na mshikamano duniani ili kukabiliana na ugaidi.
-
Wanajeshi wa Iraq waikaribia ngome kuu ya Daesh, Mosul
Jul 14, 2016 23:42Wanajeshi wa Iraq wamekaribia kufika kwenye mji wa Mosul ambao ni ngome kuu ya kundi la kigaidi la Daesh yaani ISIS, katika juhudi za Baghdad za kuwafurusha magaidi hao katika kona zote za nchi hiyo.
-
Rouhani: Iran itaendelea kupambana na ugaidi
Jul 11, 2016 12:30Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran itaendelea kutetea heshima na hadhi ya Watu wa Nyumba ya Mtume Muhammad (saw) kupitia njia ya kupambana na ugaidi bega kwa bega na wananchi na serikali ya Iraq.
-
Iraq yazitahadharisha nchi zinazowafadhili magaidi
Jul 04, 2016 22:59Waziri Mkuu wa Iraq ametoa radiamali yake kwa mashambulizi ya kigaidi yaliyoutikisa mji mkuu wa nchi hiyo Baghdad hivi karibuni na kusisitiza kuwa Baghad itakabiliana vilivyo na vyanzo na wale wote wanaowaunga mkono na kuwasaidia magaidi, licha ya kuwepo matatizo na vizingizi katika mapambano dhidi ya ugaidi.
-
Zarif: Iran haitopumzika hadi ugaidi utokomezwe duniani
Jul 04, 2016 02:44Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema katu haitapumzika hadi pale ugaidi na idiologia za kuchupa mipaka za magaidi zitakapotokomezwa kikamilifu.
-
Idadi ya wahanga wa miripuko ya kigaidi Baghdad yaongezeka
Jul 03, 2016 09:06Duru za habari zimeripoti kuwa idadi ya wahanga wa miripuko ya kigaidi iliyotokea Baghdad mji mkuu wa Iraq imeongezeka na kufikia watu 165.