-
Hujuma za magaidi zaongezeka kwa 300% Afrika licha ya operesheni za US
Oct 24, 2022 04:02Ripoti mpya ya Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inaonesha kuwa, mashambulizi ya magenge ya wanamgambo yameongezeka kwa asilimia 300 katika nchi za Afrika katika kipindi cha muongo mmoja uliopita.
-
Makumi ya magaidi wa ISIS wauawa katika operesheni ya jeshi la Syria
Oct 16, 2022 10:44Makumi ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) wameangamizwa katika operesheni ya jeshi la Syria kusini mwa nchi.
-
Bunge la Djibouti laiweka FRUD katika orodha ya makundi ya kigaidi
Oct 14, 2022 07:45Bunge la Djibouti limeliweka kundi la wabeba silaha la Front for the Restoration of Unity and Democracy (FRUD) katika orodha ya magenge ya kigaidi.
-
Askari 11 wauawa, raia 50 watoweka kufuatia shambulio la kigaidi Burkina Faso
Sep 28, 2022 03:38Wanajeshi wasiopungua 11 wa Burkina Faso wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulio linaloaminika kuwa la kigaidi kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Jeshi la Nigeria laua magaidi 420 wa Boko Haram, ISIS huko Borno
Sep 11, 2022 11:58Jeshi la Nigeria limetangaza habari ya kuwaangamiza mamia ya wanachama wa kundi la kigadi la Boko Haram na lile la ISIS Wilaya ya Afrika Magharibi (ISWAP) kaskazini mwa nchi.
-
Jeshi la Nigeria laua magaidi 46 wa ISWAP jimboni Borno
Jul 18, 2022 07:38Jeshi la Nigeria limetangaza habari ya kuwaangamiza wanachama 46 wa kundi la kigadi la ISIS Wilaya ya Afrika Magharibi (ISWAP) kaskazini mwa nchi.
-
Raisi: Maadui wanatumia magenge ya kitakfiri kuwagawa Waislamu
Jul 09, 2022 07:41Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mwenendo wa magenge ya kigaidi na kitakfiri wa kupanda mbegu za chuki na mifarakano ni sehemu ya mbinu zinazotumiwa na maadui kuibua migawanyiko katika umma wa Kiislamu.
-
Indhari ya Waziri wa Usalama wa Iran: Magaidi hawatabakia salama
Jun 28, 2022 02:45Waziri wa Usalama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema magaidi wenye makao yao Albania hawatabakia salama kutokana na moto wa ulipizaji kisasi wa jinai walizotenda.
-
Hashdu Shaabi yashambulia maficho ya magaidi Iraq; yaua kadhaa miongoni mwao
Jun 07, 2022 08:03Wanamapambano wa harakati ya wanamuqawa ya Hashdu Shaabi ya Iraq wameshambulia ngome na maficho ya mabaki ya wanachama wa magenge ya kigaidi yanayoungwa mkono na nchi ajinabi kaskazini mwa Baghdad, mji mkuu wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tunisia anusurika kuuawa na magaidi
Mar 27, 2022 08:00Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tunisia, Taoufik Charfeddine amenusurika kuuawa katika shambulio linaloaminika kuwa la kigaidi.