-
Iran na Russia ni nembo ya ushirikiano katika vita dhidi ya ugaidi
Dec 01, 2017 03:58Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ushirikiano baina ya nchi hii na Russia katika vita dhidi ya ugaidi ni nembo ya aina yake na mfano wa kuigwa kote duniani.
-
Operesheni ya G5 dhidi ya ugaidi yaanza eneo la Sahel la Afrika
Nov 04, 2017 04:13Askari wa nchi tano 'G 5' za eneo la Sahel la Afrika wameanza operesheni dhidi ya ugaidi katika eneo hilo.
-
Larijani: Ugaidi ni hatari kwa dunia nzima
Oct 16, 2017 08:34Spika wa majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, ugaidi ni hatari kubwa kwa usalama wa nchi zote duniani na mapambano dhidi ya uhalifu huo mkubwa yanahitajia ushirikiano wa nchi zote duniani.
-
Jeshi la Iran: Tutaendelea kuzisaidia nchi jirani katika mapambano dhidi ya ugaidi
Sep 04, 2017 12:02Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Jenerali Muhammad Hossein Baqeri amesema kuwa Iran itaendelea kuzisaidia nchi majirani katika vita dhidi ya makundi ya kigaidi.
-
Umoja wa Kiislamu, njia pekee ya kukabiliana na magaidi wakufurishaji na Wazayuni
Aug 23, 2017 09:16Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema njia pekee ya kukabiliana na vitisho viwili vya magaidi wakufurishaji na Wazayuni ni kuwepo umoja na mshikamano miongoni mwa Waislamu duniani.
-
Ayatullah Larijani: Wamagharibi hawana nia ya kuutokomeza ugaidi
Aug 21, 2017 22:11Mkuu wa Idara ya Mahakama nchini Iran amesema kuwa, ulimwengu wa Magharibi hauna azma ya dhati ya kuutokomeza ugaidi.
-
Safari ya mawaziri wa ulinzi wa Ufaransa na Ujerumani katika eneo la Sahel, Afrika
Jul 31, 2017 22:06Waziri wa Ulinzi wa Ufaransa Florence Parly ameanza safari yake katika nchi kadhaa za eneo la Sahel barani Afrika kwa kuitembelea Chad.
-
Spika Larijani: Kuunga mkono mhimili wa muqawama ni jukumu la Kiislamu na kibinadamu
Jul 26, 2017 22:52Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran haisiti hata kidogo kuunga mkono mhimili wa muqawama na kuwakandamiza magaidi na kwamba, inalitambua hilo kama jukumu la Kiislamu na kibinadamu.
-
Jeshi la Misri laangamiza magaidi 40 katika eneo la Sinai
Jul 26, 2017 03:13Jeshi la Misri limefanikiwa kuangamiza makumi ya wanachama wa magenge ya kigaidi, katika operesheni yake yenye lengo la kuwafuta kabisa magaidi wenye misimamo mikali ambao wanaendeleza harakati zao katika Rasi ya Sinai, kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Haftar asisitiza kuendeleza mapambano dhidi ya magaidi
Jul 17, 2017 23:46Khalifa Haftar Kamanda wa jeshi la taifa la Libya lenye makao yake mashariki mwa nchi hiyo amesema kuwa mapambano dhidi ya ugaidi hadi kutokomezwa suala hilo yataendelezwa kote nchini Libya.