Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

kupambana na ugaidi

  • Sisitizo la Umoja wa Mataifa juu ya udharura wa kuzuia kupelekwa magaidi nchini Syria

    Sisitizo la Umoja wa Mataifa juu ya udharura wa kuzuia kupelekwa magaidi nchini Syria

    Jul 15, 2017 08:02

    Stephen de Mistura Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria amesisitiza katika mkutano na waandishi wa habari kuwa upelekeaji wa magaidi huko Syria unapasa kukomeshwa.

  • Mkutano wa kimataifa wa kupambana na ugaidi waanza Tehran

    Mkutano wa kimataifa wa kupambana na ugaidi waanza Tehran

    Jul 10, 2017 03:10

    Mkutano wa 13 Kimataifa wa Kupambana na ugaidi maarufu kwa kifupi kwa jina la Kalkan umenza leo mjini Tehran ukijadili njia ya kukabiliana na janga hilo.

  • Rais wa Ufaransa awapongeza Waislamu kwa kupambana na ugaidi, misimamo mikali

    Rais wa Ufaransa awapongeza Waislamu kwa kupambana na ugaidi, misimamo mikali

    Jun 21, 2017 09:35

    Raisi mpya wa Ufaransa ameipongeza jamii ya Waislamu wa nchi hiyo kutokana na mchango wake mkubwa katika kupambana na misimamo mikali na amesisitiza udharura wa kudumishwa mapambano dhidi ya ugaidi.

  • Iran itatoa jibu kali kwa magaidi wanaopania kufanya mashambulizi nchini

    Iran itatoa jibu kali kwa magaidi wanaopania kufanya mashambulizi nchini

    Jun 20, 2017 23:34

    Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itatoa jibu kali zaidi kwa magenge ya kigaidi yatakayojaribu kuleta chokochoko na kufanya mashambulizi ndani ya ardhi ya nchi hii.

  • Umoja wa Mataifa kuanzisha ofisi ya kupambana na ugaidi

    Umoja wa Mataifa kuanzisha ofisi ya kupambana na ugaidi

    Jun 16, 2017 03:00

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, utaanzisha ofisi maalumu ya kupambana na ugaidi ikiwa ni katika juhudi za umoja huo za mikakati mipya ya kukabiliana na vitendo vya ugaidi ulimwenguni ambavyo vinazidi kuongezeka siku baada ya siku.

  • Algeria kuimarisha ushirikiano na Iran katika vita dhidi ya ugaidi

    Algeria kuimarisha ushirikiano na Iran katika vita dhidi ya ugaidi

    Jun 12, 2017 03:22

    Algeria imelaani vikali mashambulizi pacha ya kigaidi yaliyotokea hivi karibuni hapa mjini Tehran na kusema kuwa, itaendelea kushirikiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika vita vya kuyatokomeza magenge ya kigaidi.

  • Ufilipino: Hatujaomba msaada wa Marekani kukabiliana na magaidi

    Ufilipino: Hatujaomba msaada wa Marekani kukabiliana na magaidi

    Jun 11, 2017 22:57

    Rais Rodrigo Duterte wa Ufilipino amesema nchi yake haijaomba msaada wa Marekani kwa ajili ya kupambana na genge la kigaidi lililoua wanajeshi 13 wa nchi hiyo Ijumaa iliyopita, kusini mwa nchi.

  • Rais Rouhani: Iran na Syria zinashirikiana kuangamiza ugaidi

    Rais Rouhani: Iran na Syria zinashirikiana kuangamiza ugaidi

    Jun 09, 2017 00:02

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mapambano halisi na ya kweli dhidi ya ugaidi na kurejesha amani ya kudumu katika eneo la Mashaiki ya Kati ni lengo la pamoja la Iran na Syria.

  • Zarif: Ufahamu wa pamoja wa jamii ya kimataifa ni njia pekee ya kupambana na uchupaji mipaka

    Zarif: Ufahamu wa pamoja wa jamii ya kimataifa ni njia pekee ya kupambana na uchupaji mipaka

    Apr 23, 2017 09:08

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa njia pekee ya kupambana vyema na vikali na ugaidi na vitendo vya uchupaji mipaka ni kwa jamii ya kimataifa kuwa na ufahamu wa pamoja na hivyo kuweza kulipatia ufumbuzi tatizo hilo kubwa.

  • 17 wauawa katika mapigano kati ya magaidi na wanajeshi Mali

    17 wauawa katika mapigano kati ya magaidi na wanajeshi Mali

    Apr 19, 2017 21:57

    Askari wa Ufaransa wakishirikiana na wanajeshi wa Mali wamefanikiwa kuangamiza magaidi 12 kaskazini mwa nchi hiyo ya Kiafrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS