Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

kupambana na ugaidi

  • Malengo ya safari ya Waziri Mkuu wa Ufaransa barani Afrika

    Malengo ya safari ya Waziri Mkuu wa Ufaransa barani Afrika

    Apr 06, 2017 06:32

    Waziri Mkuu wa Ufaransa Bernard Cazeneuve ameanza safari ya kuzitembelea nchi kadhaa za Afrika ambayo imetajwa kuwa lengo lake ni kuimarisha uchumi na mapambano dhidi ya ugaidi.

  • Utawala wa ukufurishaji wa Aal-Saud na madai yake ya kuchekesha ya kupambana na ugaidi

    Utawala wa ukufurishaji wa Aal-Saud na madai yake ya kuchekesha ya kupambana na ugaidi

    Mar 26, 2017 07:43

    Saudia ambayo iko mstari wa mbele katika kuunga mkono ugaidi na makundi ya kigaidi katika eneo la Mashariki ya Kati na hata duniani kwa ujumla, katika hatua ya kipropaganda inayofanana zaidi na kichekesho cha kisiasa imedai kuwa, eti inapambana na ugaidi.

  • Hatua nyingine muhimu kuelekea ukombozi kamili wa Mosul

    Hatua nyingine muhimu kuelekea ukombozi kamili wa Mosul

    Feb 24, 2017 04:39

    Jeshi la Iraq limeendeleza operesheni ya kukomboa eneo la magharibi mwa Mosul kwa kudhibiti uwanja wa ndege wa mji huo kutoka kwenye makucha ya wapiganaji wa kundi la kigaidi la Daesh.

  • Viongozi wa Kiafrika wasisitiza juu ya kupambana na ugaidi

    Viongozi wa Kiafrika wasisitiza juu ya kupambana na ugaidi

    Jan 15, 2017 11:13

    Viongozi wa nchi 30 za Kiafrika walioshiriki katika mkutano wa Afrika na Ufaransa huko Bamako mji mkuu wa Mali wamesisitiza juu ya kuweko vita vya kweli dhidi ya ugaidi.

  • Kuendelea kukosolewa utendaji wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusu vita dhidi ya ugaidi

    Kuendelea kukosolewa utendaji wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusu vita dhidi ya ugaidi

    Dec 25, 2016 00:22

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amekosoa utendaji wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) kuhusu masuala ya eneo la Mashariki ya Kati na mapambano dhidi ya ugaidi.

  • Abdollahian: Aleppo inaelekea kusafika kutokana na uepo wa makundi ya kigaidi

    Abdollahian: Aleppo inaelekea kusafika kutokana na uepo wa makundi ya kigaidi

    Nov 29, 2016 10:33

    Hossein Amir-Abdollahian, msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (bunge), katika masuala ya kimataifa, amesema kuwa hivi sasa mji wa Aleppo, kaskazini mwa Syria unaelea kusafika kutokana na uepo wa makundi ya kigaidi na kitakfiri.

  • Hizbullah yasisitiza kuendeleza mapambano dhidi ya magaidi hadi kuwaangamiza kikamilifu

    Hizbullah yasisitiza kuendeleza mapambano dhidi ya magaidi hadi kuwaangamiza kikamilifu

    Nov 25, 2016 11:41

    Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon imesisitiza juu ya kuendeleza mapambano dhidi ya makundi ya kigaidi na kitakfiri na kuyatokomeza kikamilifu.

  • Rouhani: Iran na Russia zitaendelea kupambana na ugaidi

    Rouhani: Iran na Russia zitaendelea kupambana na ugaidi

    Nov 15, 2016 01:06

    Rais wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na Russia zitaendelea kuwa na ushirikiano wa kistratajia katika kupambana na ugaidi katika eneo hili la Mashariki ya Kati.

  • Iran: Wananchi wamevunja njama zote za maadui

    Iran: Wananchi wamevunja njama zote za maadui

    Nov 05, 2016 23:13

    Waziri wa Usalama wa Taifa wa Iran amesema kuwa, kushiriki vilivyo wananchi katika nyuga tofauti kumefanikiwa kuvunja njama zote za maadui.

  • Rais Putin: Marekani imetumbukia katika shimo lile lile

    Rais Putin: Marekani imetumbukia katika shimo lile lile

    Oct 28, 2016 23:09

    Rais Vladimir Putin wa Russia ameelezea kusikitishwa kwake na makubaliano yaliyofikiwa kati ya nchi yake na Marekani katika suala la kupambana na ugaidi lakini hayakutekelezwa kivitendo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS