Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Lebanon

  • Twitter yafunga kurasa za Hizbullah na shirika la habari la Quds

    Twitter yafunga kurasa za Hizbullah na shirika la habari la Quds

    Nov 03, 2019 04:45

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imekosoa vikali hatua ya shirika la mtandao wa kijamii wa Twitter la Marekani ya kufuta kurasa zenye mfungamano na harakati hiyo kwenye mtandao huo.

  • Nasrullah: Hizbullah inatekeleza jukumu lake, Marekani inazuia utatuzi Lebanon

    Nasrullah: Hizbullah inatekeleza jukumu lake, Marekani inazuia utatuzi Lebanon

    Nov 02, 2019 00:49

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon jana Ijumaa alitoa hotuba muhimu katika kumbukumbu za kumuenzi Allama Sayyid Murdha al Amili, mmoja wa maulamaa na wanavyuoni wakubwa wa nchini Lebanon, na mbali na kugusia shakhsia ya mwanachuoni huyo, amezungumzia pia matukio ya ndani ya Lebanon na kujiuzulu waziri mkuu wa nchi hiyo.

  • Wabunge wa Hizbullah: Marekani ndiye msababishaji wa fujo na machafuko ndani ya Lebanon

    Wabunge wa Hizbullah: Marekani ndiye msababishaji wa fujo na machafuko ndani ya Lebanon

    Nov 01, 2019 03:49

    Wabunge wa harakati ya Hizbullah katika bunge la Lebanon wamelaani uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya nchi yao.

  • Waziri Mkuu wa Lebanon Saad al Hariri amejiuzulu

    Waziri Mkuu wa Lebanon Saad al Hariri amejiuzulu

    Oct 29, 2019 12:13

    Waziri Mkuu wa Lebanon Saad al Hariri ametangaza kujiuzulu huku nchi hiyo ikiwa imegubikwa na maandamano ya wananchi.

  • Jeshi la Lebanon latahadharisha kuhusu fitina na njama mpya za MOSSAD

    Jeshi la Lebanon latahadharisha kuhusu fitina na njama mpya za MOSSAD

    Oct 29, 2019 08:20

    Jeshi la Lebanon limetoa taarifa likitangaza kuwa, ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Facebook unaofanya kazi chini ya usimamizi wa shirika la ujasusi la Israel MOSSAD kwa kutumia jina la "Jamal Fa" unatuma maombi na kutoa pesa kwa baadhi ya raia wa Lebanon.

  • Jihadul-Islami: Muqawama umesambaratisha njama za utawala wa Kizayuni

    Jihadul-Islami: Muqawama umesambaratisha njama za utawala wa Kizayuni

    Oct 19, 2019 23:04

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul-Islam ya Palestina amesema kuwa, muqawama umesambaratisha njama za utawala vamizi wa Kizayuni.

  • Maandamano ya watu wa Lebanon, makataa ya Hariri na ahadi za Jenerali Aoun

    Maandamano ya watu wa Lebanon, makataa ya Hariri na ahadi za Jenerali Aoun

    Oct 19, 2019 23:03

    Miji mbali mbali ya Lebanon, ukiwemo mji mkuu wa nchi hiyo, Beirut, kwa siku kadhaa sasa imeshuhudia maandamano ya wananchi wanaolalamikia sera za kiuchumi za serikali ya Waziri Mkuu Saad Hariri.

  • Rais wa Lebanon: Nitajitahidi kufanya kila niwezalo kupunguza maumivu ya wananchi

    Rais wa Lebanon: Nitajitahidi kufanya kila niwezalo kupunguza maumivu ya wananchi

    Oct 19, 2019 04:13

    Rais Michel Aoun wa Lebanon amesema, atajitahidi kufanya kila lililo kwenye uwezo wake ili kupunguza maumivu waliyonayo wananchi.

  • Maandamano ya kupinga serikali yaendelea nchini Lebanon

    Maandamano ya kupinga serikali yaendelea nchini Lebanon

    Oct 18, 2019 11:49

    Maandamano ya kupinga serikali ya wananchi wa Lebanon yameendelea leo kwa waandamanaji kukusanyika karibu na ofisi ya Waziri Mkuu na Bunge la nchi hiyo katika mji mkuu Beirut.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon: Hizbullah si kundi la kigaidi

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon: Hizbullah si kundi la kigaidi

    Sep 25, 2019 01:10

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon amesema: Harakati ya Hizbulllah ya Lebanon si kundi la kigaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS