Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Lebanon

  • Hatimaye Lebanon yapata Rais; Michel Aoun achaguliwa kuwa Rais

    Hatimaye Lebanon yapata Rais; Michel Aoun achaguliwa kuwa Rais

    Oct 31, 2016 11:02

    Hatimaye baada ya miaka miwili na nusu ya kutokuwa na Rais, Lebanon leo imepata Rais mpya wa nchi hiyo baada ya Michel Aoun kuchaguliwa kushika wadhifa huo.

  • Nasrallah: Hizbullah imezuia Lebanon kutumbukia katika mgogoro

    Nasrallah: Hizbullah imezuia Lebanon kutumbukia katika mgogoro

    Oct 30, 2016 01:08

    Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah , Sayyed Hassan Nasrallah amesema harakati hiyo imeizuia Lebanon kutumbukia katika migogoro inayoendelea sasa Mashariki ya Kati na kwamba jitihada zinahitajika kulinda uthabiti huo.

  • Sayyid Nasrullah: Saudia ni muungaji mkono mkuu wa ugaidi Mashariki ya Kati

    Sayyid Nasrullah: Saudia ni muungaji mkono mkuu wa ugaidi Mashariki ya Kati

    Oct 24, 2016 04:18

    Katibu Mkuu wa Harakati wa Hizbullah ya Lebanon Seyyed Hassan Nasrallah amesema, Saudi Arabia ndio muungaji mkono mkuu wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh katika eneo

  • Nasrallah: Uwahhabi ni hatari zaidi ya utawala wa Kizayuni

    Nasrallah: Uwahhabi ni hatari zaidi ya utawala wa Kizayuni

    Sep 27, 2016 10:38

    Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah, amesema anaitazama itikadi ya misimamo mikali ya Uwahhabi kuwa hatari zaidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Zarif aipongeza Lebanon kwa kuipigisha magoti Israel

    Zarif aipongeza Lebanon kwa kuipigisha magoti Israel

    Aug 15, 2016 03:23

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemuandikia barua mwenzake wa Lebanon kwa mnasaba wa maadhimisho ya miaka 10 ya ushindi wa nchi hiyo dhidi ya askari vamizi wa utawala haramu wa Israel.

  • Nasrullah: Makundi kigaidi yanatumikia maslahi ya Marekani

    Nasrullah: Makundi kigaidi yanatumikia maslahi ya Marekani

    Aug 14, 2016 02:31

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameyataka makundi ya kigaidi na kitakfiri kuweka chini silaha na yatambue kuwa harakati zao hazina maslahi kwa yeyote isipokuwa adui Marekani.

  • Pendekezo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon la kumaliza mgogoro wa kubaki wazi kiti cha Urais

    Pendekezo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon la kumaliza mgogoro wa kubaki wazi kiti cha Urais

    Aug 12, 2016 22:19

    Baada jitihada zote zilizofanywa hadi sasa kumaliza hitilafu baina ya mirengo ya kisiasa ya Lebanon kwa ajili ya kumchagua rais mpya, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Gebran Bassil amesema njia pekee ya kutatua mgogoro ni kumchagua rais kwa maafikiano.

  • Nabil Qaouk: Saudia hawauwezi muqawama wa Lebanon

    Nabil Qaouk: Saudia hawauwezi muqawama wa Lebanon

    Jun 13, 2016 22:01

    Naibu wa Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Saudi Arabia haiwezi kuushinda nguvu muqawama wa Lebanon.

  • Marekani yashinikiza kufungwa akaunti 3,000 zaidi za 'Hizbullah'

    Marekani yashinikiza kufungwa akaunti 3,000 zaidi za 'Hizbullah'

    Jun 11, 2016 03:26

    Zaidi ya akaunti 3,000 za benki za watu wanaoaminika kuwa na mafungamano na harakati ya Hizbullah ya Lebanon zinatazamiwa kufungwa karibuni hivi, kufuatia mashinikizo ya Marekani.

  • Radiamali mbalimbali kuhusu kimya cha nchi za Kiarabu mbele ya jinai za Israel

    Radiamali mbalimbali kuhusu kimya cha nchi za Kiarabu mbele ya jinai za Israel

    Jun 08, 2016 01:40

    Harakati ya Hizbullahi ya Lebanon imelaani kimya cha nchi za Kiarabu mbele ya jinai za Wazayuni na kusema kukwa, kimya hicho ni mkamilishaji wa siasa za kuwa na uhusiano wa kawaida kati ya nchi hizo na Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS