-
Mwanazuoni wa Kisuni Lebanon: Saudia inawahudumia bure Wazayuni
Mar 28, 2016 09:22Sheikh Suhail Habli, mwanazoni wa Kisuni wa nchini Lebanon amezikosoa siasa za watawala wa Aal Saud na kusema kuwa, Saudi Arabia ni mfanyakazi wa bure wa Wazayuni.
-
Rais mteule wa Benin kuongoza kwa muhula mmoja tu wa miaka mitano
Mar 27, 2016 00:08Rais mteule wa Benin Patrice Talon amesema kuwa, anataka kupunguza muda wa rais anaoweza kuongoza nchini humo, kuwa muhula mmoja tu wa miaka mitano.
-
Safari ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Lebanon
Mar 25, 2016 21:10Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amesisitizia ulazima wa kuongezwa misaada ya kimataifa kwa jeshi la Lebanon.
-
Israel yazidisha uchokozi wa kijeshi dhidi ya Lebanon
Mar 19, 2016 04:07Baada ya kufichuka awamu mpya ya ujasusi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Lebanon, mbunge mmoja wa nchi hiyo amesema hatua ya Wazayuni kujipenyeza katika laini za mawasiliano ya Lebanon ni hujuma kwa usalama na mamlaka ya kitaifa ya nchi hiyo na ametaka hatua zichukuliwe kukabiliana hali hiyo.
-
Kharazi: Kudhoofisha muqawama wa Lebanon ni kutumikia maslahi ya Israel
Mar 17, 2016 09:58Mkuu wa Baraza la Kiistratejia la Uhusiano wa Kigeni la Iran amesema kuwa kuudhoofisha muqawama wa Lebanon ni kutumikia maslahi ya utawala wa Kizayuni.
-
Hizbollah yalaani 'hujuma' ya Jumuiya ya nchi za Kiarabu
Mar 13, 2016 04:05Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah, imelaani hatua ya hivi karibuni ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuitaja harakati hiyo kuwa "kundi la kigaidi" na kusema uamuzi huo ni sawa na "tangazo la hujuma" kutoka Saudi Arabia.
-
Algeria yapinga kutajwa Hizbullah kuwa kundi la kigaidi
Mar 12, 2016 04:39Algeria kwa mara nyingine imepinga uamuzi wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusu kuitajwa Hizbullah kuwa kundi la kigaidi.
-
Hizbullah yasisitizia umoja wa Waislamu dhidi ya adui Mzayuni
Mar 10, 2016 21:43Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah nchini Lebanon, Sheikh Naim Qassem amesisitizia umuhimu wa kuendelezwa mapambano dhidi ya adui Mzayuni.
-
Marekani, Israel, Saudia zinachochea fitna Mashariki ya Kati
Mar 01, 2016 23:20Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel na Saudi Arabia zinachochea fitna na mizozo ya kimadhehebu katika eneo nyeti la Mashariki ya Kati.
-
Hizbullah: Hatuwezi kuiomba Saudia msamaha
Feb 28, 2016 04:33Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon Hizbullah imeukosoa utawala wa Saudi Arabia kwa kula njama ya kuitumbukiza Lebanon katika mzozo wa ndani na kuongeza kuwa katu haiwezi kuiomba msahama serikali ya Riyadh kwa kusema ukweli.