-
Jitihada za kumshawishi Al-Dbeibeh akabidhi madaraka Libya zaendelea
Mar 30, 2022 21:55Waziri Mkuu mpya wa Libya Fathi Bashagha amesema jitihada zinafanywa za kumshawishi waziri mkuu wa serikali ya mpito Abdul Hamid al-Dbeibah akubali kung'atuka madarakani na kumkabidhi yeye hatamu za uongozi.
-
Tume ya Uchaguzi Libya: Tupo tayari kwa uchaguzi kukiwepo makubaliano
Mar 20, 2022 04:12Tume ya Uchaguzi Libya imesema ipo tayari kuendesha zoezi la uchaguzi mara tu makubaliano ya kisiasa yatakapofikiwa.
-
Kampuni ya Taifa ya Mafuta ya Libya yasitisha uzalishaji; baada ya visima kushambuliwa
Mar 07, 2022 08:51Kampuni ya Taifa ya Mafuta ya Libya imetangaza kusitisha uzalishaji wa mafuta katika visima viwili vikubwa nchini humo.
-
Arab League yaelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya kisiasa nchini Libya
Mar 07, 2022 08:01Kuongezeka kwa tofauti kati ya mirengo ya Libya kuhusu utungaji wa sheria za uchaguzi wa rais na wabunge kumekuwa tishio kubwa kwa mchakato wa uchaguzi, kwa kadiri kwamba Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Ahmed Aboul Gheit ameeleza wasiwasi wake juu ya hali ya kisiasa ya nchi hiyo na umuhimu wa kuwepo mwafaka na maridhiano ya kisiasa.
-
Umoja wa Mataifa kupatanisha Libya baada ya serikali hasimu kuapishwa
Mar 05, 2022 10:41Umoja wa Mataifa umetangaza utayarifu wa kupatanisha mgogoro wa kisiasa nchini Libya baada ya kuibuka serikali mbili hasimu.
-
Mawaziri wawili wa serikali mpya ya Libya watekwa nyara
Mar 04, 2022 04:34Kundi la wanamgambo wenye silaha limewateka nyara mawaziri wawili wa serikali mpya ya nchi hiyo.
-
Baraza jipya la mawaziri latangazwa mashariki mwa Libya
Mar 02, 2022 09:59Baraza jipya la mawaziri nchini Libya limeidhinishwa na Bunge lenye makao yake makuu mashariki mwa nchi hiyo, hatua ambayo inaweza kuzua wakati wowote mvutano mkubwa na serikali ya umoja wa kitaifa inayoongozwa na Waziri Mkuu Abdulhamid Dbeibah huko Tripoli.
-
Juhudi za Waziri Mkuu wa Libya za kuondokana na mgogoro wa kisiasa
Feb 22, 2022 23:00Katika hali ambayo suala la kufanyika uchaguzi nchini Libya limekuwa jinamizi lililoitumbukiza nchi hiyo katika mgogoro wa kisiasa, Waziri Mkuu wa Serikali ya Mpito ametoa pendekezo jipya kwa ajili ya kufanyika uchaguzi wa Bunge katikati ya mwaka huu sambamba na kufanyika kura ya maoni ya katiba ya nchi hiyo.
-
Makundi tofauti ya Libya yaanza mazungumzo ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa
Feb 14, 2022 07:25Waziri Mkuu wa Libya ametangaza habari ya kuanza mazungumzo kuhusu kuundwa Baraza la Mawaziri litakaloshirikisha makundi yote ya nchi hiyo.
-
Mgogoro wa nchi kuwa na serikali mbili wakati mmoja waikumba tena Libya
Feb 13, 2022 00:44Libya imekumbwa tena na mzozo wa kuwa na serikali mbili kwa wakati mmoja baada ya bunge la nchi hiyo kumchagua aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani Fat-hi Bashagha kuwa waziri mkuu mpya.