-
Waziri Mkuu wa Libya akanusha madai ya kukutana na maafisa wa Israel
Jan 14, 2022 03:05Kaimu Waziri Mkuu wa serikali ya mpito ya umoja wa kitaifa ya Libya amekadhibisha madai kuwa amekutana na kufanya mazungumzo na maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Algeria yaufungua tena ubalozi mdogo nchini Libya
Jan 11, 2022 14:03Algeria imefungua tena ubalozi wake mdogo huko Tripoli mji mkuu wa Libya baada ya kufungwa kwa miaka minane.
-
Tarehe mpya ya Uchaguzi wa Rais nchini Libya
Jan 05, 2022 10:01Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Libya imetangaza tarehe 24 mwezi huu wa Januari 2022 kuwa siku ya kufanyika uchaguzi wa rais nchini humo licha ya kwamba bado kuna hitilafu kuhusu wakati hasa unaopaswa kufanyika uchaguzi huo.
-
Tume ya uchaguzi Libya: Uchaguzi mkuu utafanyika tarehe 24 Januari
Jan 04, 2022 02:48Tume Kuu ya Taifa ya Uchaguzi nchini Libya (HNEC) imetangaza kuwa uchaguzi mkuu wa nchi hiyo uliokuwa umeakhirishwa, utafanyika tarehe 24 ya mwezi huu wa Januari.
-
Bunge la Libya lapendekeza uchaguzi wa rais uakhirishwe kwa miezi sita
Dec 29, 2021 04:23Baraza la Wawakilishi (Bunge) la Libya limependekeza kuwa ucahguzi wa rais nchini humo uakhirishwe kwa miezi sita.
-
Libya yamtaja balozi wa Uingereza kuwa hatakikani nchini humo
Dec 28, 2021 07:34Bunge la Libya limemtaja balozi wa Uingereza nchini humo kuwa ni mtu asiyetakikana nchini humo. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya matamshi yaliyotolewa na balozi wa Uingereza yaliyotambuliwa kuwa yamekiuka sheria za kimataifa.
-
Baada ya kuahirishwa uchaguzi wa rais, Libya yaunda kamati ya Bunge ya kubuni ramani mpya ya njia
Dec 24, 2021 15:53Baraza la Wawakilishi la Libya limeunda kamati ya wajumbe 10 ili kubuni ramani mpya ya njia baada ya kuahirishwa uchaguzi uliokuwa umepangwa kufanyika leo, Ijumaa.
-
Umoja wa Mataifa waunga mkono kufanyika uchaguzi wa Libya katika wakati mwafaka
Dec 24, 2021 11:38Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amehimiza kufanyika uchaguzi mkuu wa Bunge na Rais katika tarehe mwafaka nchini Libya.
-
Umoja wa Mataifa: Hakuna ramani mpya ya njia kwa ajili ya Libya
Dec 21, 2021 02:38Msemaji wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya (UNMSIL) amesema hakuna ramani mpya ya njia kwa ajili ya Libya.
-
Kuendelea mivutano ya uchaguzi huko Libya
Dec 13, 2021 04:30Katika kipindi hiki cha kukaribia wakati wa kufanyika uchaguzi huko Libya, mivutano ya kisiasa imepamba moto nchini humo kwa kadiri kwamba, Tume Kuu ya Uchaguzi ya nchi hiyo imetangaza habari kuakhirishwa zoezi la kuchapisha orodha ya mwisho ya wagombea wa kiti cha urais.