Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Kushadidi mgogoro wa Libya; Waziri Mkuu wa Serikali ya mashariki ajiuzulu

    Kushadidi mgogoro wa Libya; Waziri Mkuu wa Serikali ya mashariki ajiuzulu

    Sep 14, 2020 22:03

    Mgogoro wa ndani nchini Libya umeshadidi mno. Matatizo ya kiuchumi na kuvurugika maisha, kuongezeka ufisadi na kuendelea vita vya ndani kumewafanya mamia ya wananchi wa nchi hiyo katika siku za hivi karibuni kujitokeza katika miji mbalimbali ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika na kuandamana wakitaka kuhitimishwa mizozo ili kutoa fursa ya kuboreshwa hali ya kisiasa na kiuchumi ya nchi hiyo.

  • 'Serikali ya Haftar' huko Libya yajiuzulu kufuatia maandamano ya wananchi

    'Serikali ya Haftar' huko Libya yajiuzulu kufuatia maandamano ya wananchi

    Sep 14, 2020 01:35

    Serikali ya Libya yenye makao makuu yake mashariki mwa nchi na inayoongozwa na Abdullah Al-Thani, imetangaza kujiuzulu kufuatia maandamano ya siku tatu ya wananchi katika miji mikubwa ya mashariki mwa nchi.

  • Kundi la Haftar lakiuka makubaliano ya usitishaji vita Libya

    Kundi la Haftar lakiuka makubaliano ya usitishaji vita Libya

    Sep 06, 2020 23:04

    Jeshi la Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya limetangaza kuwa, vikosi vya kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya (LNA) linaloongozwa na Khalifa Haftar vimekiuka makubaliano ya usitishaji vita.

  • Mazungumzo baina ya pande hasimu nchini Libya yameanza huko Morocco

    Mazungumzo baina ya pande hasimu nchini Libya yameanza huko Morocco

    Sep 05, 2020 21:57

    Mazungumzo baina ya pande mbili hasimu nchini Libya yalianza jana Jumamosi katika viunga vya mji mkuu wa Moroco Rabat.

  • Guterres ataka kufungwa vituo vya kuwashikilia wakimbizi nchini Libya

    Guterres ataka kufungwa vituo vya kuwashikilia wakimbizi nchini Libya

    Sep 04, 2020 22:05

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewataka viongozi wa Libya kuvifunga vituo vyote ambavyo wakimbizi wamekuwa wakishikiliwa nchini humo.

  • Utawala wa Kizayuni unawapatia silaha wanamgambo wa Khalifa Haftar huko Libya

    Utawala wa Kizayuni unawapatia silaha wanamgambo wa Khalifa Haftar huko Libya

    Sep 03, 2020 06:56

    Maafisa wa jeshi la mashariki mwa Libya wameeleza kuwa mamluki wenye mfungamano na kundi linalojiita " Jeshi la Taifa la Libya" wamepokea maroketi kutoka kwa utawala wa Kizayuni kupitia Imarati.

  • Libya yapata  hasara ya dola bilioni 9 kutokana na kufungwa taasisi zake za mafuta

    Libya yapata hasara ya dola bilioni 9 kutokana na kufungwa taasisi zake za mafuta

    Aug 31, 2020 01:58

    Shirika la Mafuta la Libya limetangaza kuwa nchi hiyo imepata hasara ya dola bilioni tisa kutokana na kufungwa taasisi za mafuta na kusitishwa uzalishaji na uuzaji wa bidhaa hiyo.

  • Khalifa Haftar afunguliwa mashtaka ICC kwa jinai za makaburi ya halaiki ya Tarhunah, Libya

    Khalifa Haftar afunguliwa mashtaka ICC kwa jinai za makaburi ya halaiki ya Tarhunah, Libya

    Aug 28, 2020 07:24

    Wakili Mmarekani mwenye asili ya Palestina amefungua mashtaka katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC dhidi ya Khalifa Haftar, kamanda wa kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya (LNA).

  • Serikali ya Libya yatangaza kafyu katika mji mkuu Tripoli

    Serikali ya Libya yatangaza kafyu katika mji mkuu Tripoli

    Aug 27, 2020 02:08

    Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya imetangaza kuweka kafyu katika mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli kufuatia kushtadi maandamano ya wananchi.

  • Wanamgambo wa Haftar wakosoa pendekezo la Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya

    Wanamgambo wa Haftar wakosoa pendekezo la Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya

    Aug 24, 2020 22:59

    Msemaji wa wanamgambo wanaoongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftari ambao wanajiita Jeshi la Kitaifa la Libya wamepinga pendekezo lililotolewa na kiongozi wa Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya na kulitaja kama la kuleta mshawasha kwa fikra za waliowengi nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS