-
Morocco yapinga pendekezo la Misri kuhusu Libya
Jun 08, 2020 07:34Serikali ya Morocco imepinga mpango wa Misri kuhusu Libya na kusisitiza kuwa muafaka wa kisiasa wa al Sakhirat ni marejeo asili ya ufumbuzi wa mgogoro wa Libya.
-
Wapiganaji wa Haftar warejea nyuma kutoka mji wa Sirte nchini Libya
Jun 06, 2020 23:47Askari wa serikali ya mwafaka wa kitaifa yenye makao yake magharibi mwa Libya wameelezea habari ya kukimbia wanamgambo wanaoongozwa na Jenerali Khalifa Haftar kutoka katika mji wa Sirte hadi umbali wa kati ya Tripoli na Bengazi.
-
Serikali ya Muafaka wa Kitaifa ya Libya yakataa pendekezo la usitishaji vita la Misri na Haftar
Jun 06, 2020 22:37Jeshi la serikali ya muafaka wa kitaifa ya Libya limekataa pendekezo la kusitisha vita lililotolewa na Misri na vikosi vya mashariki mwa nchi hiyo na badala yake limesisitiza kudhibitiwakudhibitiwa maeneo yote ya nchi hiyo.
-
Kuendelea ushindi wa Serikali ya Muafaka wa Kitaifa Libya na mustakabali usiowazi wa Libya
Jun 06, 2020 03:46Vita nchini Libya vimeshadidi na kushika kasi. Serikali ya Muafaka wa Kiataifa (GNU) yenye makao yake mjini Tripoli iko mbioni kukomboa maeneo yote ambayo yanakaliwa na wanamgambo wanaoongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar. Katika siku za hivi karibuni vikosi vya Serikali ya Muafaka wa Kitaifa vimepata mafanikio makubwa.
-
Baraza la Usalama larefusha muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Libya
Jun 06, 2020 03:26Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena limeongeza muda wa vikwazo vya silaha vilivyowekewa Libya kwa kipindi cha mwaka mmoja mwingine.
-
Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yatwaa ngome kuu ya Haftar magharibi mwa Libya
Jun 05, 2020 08:07Jeshi la Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya limetangaza kuwa limetwaa ngome kuu ya mwisho ya wapiganaji wa jenerali muasi, Khalif Haftar huko magharibi mwa Libya.
-
Khalifa Haftar aainisha masharti kwa ajili ya kuanza mazungumzo huko Libya
Jun 04, 2020 22:20Kamanda wa kundi kwa jina la jeshi la kitaifa la Libya ameainisha masharti ili kufanya mazungumzo na serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo.
-
Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yadhibiti kikamilifu mji wa Tripoli
Jun 04, 2020 07:41Serikali ya Umoja wa Kitaifa nchini Libya imetangaza kwamba imefanikiwa kuudhibiti kikamilifu mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli na kufurusha mabaki ya wapiganaji wa jenerali muasi, Khalifa Haftari.
-
Safari ya Jenerali Haftar nchini Misri
Jun 04, 2020 03:19Kamanda wa kundi linalojiita Jeshi la Kitaifa la Libya yuko mjini Cairo Misri, kwa lengo la kuonana na kuzungumza na viongozi wa nchi hiyo.
-
Wapiganaji wa Haftar: Uturuki imetuma vifaru nchini Libya
Jun 03, 2020 00:05Wanamgambo wanaoongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar nchini Libya wamesema kwamba meli moja ya mizigo kutoka Uturuki imeshusha vifaru visivyojulikana idadi yake aina ya M60 kwa ajili ya serikali ya wokovu wa kitaifa ya nchi hiyo.