-
Indhari ya UN kuhusu kubadilika mzozo wa Libya kuwa vita vya kieneo
Mar 01, 2020 20:50Licha ya mazungumzo na juhudi za kimataifa katika wiki za hivi karibuni kwa ajili ya kuhitimisha vita nchini Libya, lakini mapigano yamezidi kuongezeka na sasa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika imegeuka kuwa ulingo wa vita vya niaba.
-
UN: Mapigano ya ndani Libya yanaweza kugeuka kuwa vita vya kieneo
Feb 29, 2020 03:43Mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya ametahadharisha kuwa mapigano ya ndani nchini humo yanaweza kugeuka kuwa vita vya kieneo.
-
Al-Sarraj ailaumu Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kwa kushindwa kuutatua mgogoro wa Libya
Feb 26, 2020 09:14Kiongozi wa Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya (GNA) ameilaumu Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kwa kushindwa kutatua mgogoro wa nchi hiyo.
-
Imarati yawatumia wapiganaji wa Haftar ndege 100 zilizosheheni silaha
Feb 25, 2020 04:30Imebainika kuwa, ndege 100 za mizigo zilizosheheni silaha na zana za kijeshi zimewasili nchini Libya zikitokea Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).
-
Waziri Mkuu wa Libya: Haftar ni mtenda jinai za kivita
Feb 24, 2020 21:52Fayez al Serraj Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya amelaani kushambuliwa maeneo ya raia na viwanja vya ndege nchini humo kunakofanywa na wanamgambo wanaoongozwa na Jenerali Khalifa Haftar.
-
GNA ya Libya yaiomba Marekani ijenge kituo cha kijeshi nchini humo kukabiliana na ushawishi wa Russia
Feb 23, 2020 04:38Waziri wa Mambo ya Ndani wa Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya (GNA) ameitaka Marekani ijenge kituo chake cha kijeshi katika nchi hiyo ya Kiafrika kukabiliana na kile alichosema, kuongezeka ushawishi wa Russia nchini humo.
-
Kutangaza utayari Khalifa Haftar wa kukubali usitishaji vita kwa masharti nchini Libya
Feb 23, 2020 03:33Katika hali ambayo, vita nchini Libya vinaendelea na Waziri Mkuu wa Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Fayez al-Sarraj amesitisha ushiriki wake katika mazungumzo ya Geneva akilalamikia kuendelea mashambulio ya vikosi vya Khalifa Haftar, jenerali huyo muasi ametangaza utayari wake wa kuheshimu usitishaji vita lakini kwa masharti.
-
UN: Mazungumzo ya usitishaji vita Libya yameanza tena mjini Geneva
Feb 21, 2020 11:24Umoja wa Mataifa umetangaza leo kuwa, mazungumzo ya usitishaji vita nchini Libya baina ya vikosi vinavyopigania kuudhibiti mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli, yameanza tena mjini Geneva, Uswisi siku kadhaa baada ya serikali ya Libya inayotambuliwa kimataifa kujitoa kwenye mazungumzo hayo kufuatia hatua ya mrengo hasimu ya kushambulia bandari ya Tripoli.
-
Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya yasitisha ushiriki wake katika mazungumzo ya Geneva
Feb 20, 2020 00:53Mashambulizi yanayoendelea kufanywa na lile linalojiita Jeshi la Taifa la Libya chini ya uongozi wa jenerali mstaafu Khalifa Haftari dhidi ya taasisi za mafuta na Bandari ya Tripoli yameilazimisha Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya kusitisha ushiriki wake katika mazungumzo ya amani ya Geneva yenye lengo la kufikiwa mapano ya kusimamisha vita nchini Libya.
-
Serikali ya Libya yasimamisha mazungumzo ya amani baada ya Haftar kushambulia bandari
Feb 19, 2020 00:25Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya (GNA) inayotambuliwa rasmi na Umoja wa Mataifa imetangaza kuwa haitaendelea kushiriki mkutano wa amani wa UN mjini Geneva, baada ya kukiukwa makubaliano dhaifu ya usitishaji vita.