Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Guterres aeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya wahamiaji haramu huko Libya

    Guterres aeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya wahamiaji haramu huko Libya

    Jul 27, 2019 02:43

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema kuwa amehuzunishwa sana kusikia taarifa ya kuaga dunia wahamiaji na wakimbizi wapatao 150 baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama katika pwani ya Libya juzi Alhamisi.

  • Mapigano yashtadi kusini mwa Tripoli mji mkuu wa Libya

    Mapigano yashtadi kusini mwa Tripoli mji mkuu wa Libya

    Jul 25, 2019 06:46

    Mapigano kati ya wanamgambo kwa jina la jeshi la kitaifa la Libya na vikosi vya serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya yamepamba moto katika eneo la al Ramla kusini mwa Tripoli mji mkuu wa nchi hiyo.

  • Wanamgambo wa Haftar watungua droni ya Uturuki huko Libya

    Wanamgambo wa Haftar watungua droni ya Uturuki huko Libya

    Jul 21, 2019 22:03

    Duru zenye mfungamano na wanamgambo wanaojiita jeshi la kitaifa la Libya wanaoongozwa na kamanda Khalifa Haftar zimeripoti kuwa wanamgambo hao wametungua droni ya Uturuki katika anga ya mji mkuu wa Libya, Tripoli.

  • UNHCR: Mapigano Libya yamefanya watu 120,000 wakimbie makazi yao

    UNHCR: Mapigano Libya yamefanya watu 120,000 wakimbie makazi yao

    Jul 18, 2019 06:57

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesema watu zaidi ya 120,000 wamelazimika kuwa wakimbizi wa ndani kutokana na mapigano huko Tripoli mji mkuu wa Libya na viunga vyake.

  • Libya: Kudai Haftar kwamba ataanzisha mashambulio mapya ni vitisho vya kutumia vyombo vya habari

    Libya: Kudai Haftar kwamba ataanzisha mashambulio mapya ni vitisho vya kutumia vyombo vya habari

    Jul 15, 2019 02:45

    Msemaji wa vikosi vya serikali ya mapatano ya kitaifa ya Libya amesema, vitisho vilivyotolewa na vikosi vya mashariki mwa nchi hiyo vinavyoongozwa na Khalifa Haftar kwamba vitaanzisha mashambulio mapya dhidi ya mji mkuu Tripoli ni uogofyaji na uenezaji hofu kwa kutumia vyombo vya habari.

  • Kiongozi mmoja wa Daesh aangamizwa nchini Libya

    Kiongozi mmoja wa Daesh aangamizwa nchini Libya

    Jul 13, 2019 21:49

    Kiongozi mmoja wa genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) ameangamizwa katika shambulizi la anga wapiganaji wanaoijiita Jeshi la Taifa la Libya wanaoongozwa na Jenerali Khalifa Haftar.

  • HRW, Amnesty zataka kufungwa vituo vya kuwazuilia wahajiri Libya

    HRW, Amnesty zataka kufungwa vituo vya kuwazuilia wahajiri Libya

    Jul 12, 2019 10:48

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Human Rights Watch, Amnesty International na Baraza la Ulaya la Wakimbizi na Wahajiri (ECRE) yametoa mwito wa kufungwa kambi za kuwazuilia wakimbizi na wahajiri nchini Libya.

  • Kansela wa Ujerumani asisitizia ulazima wa kuacha kuiuzia silaha Libya

    Kansela wa Ujerumani asisitizia ulazima wa kuacha kuiuzia silaha Libya

    Jul 10, 2019 23:31

    Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesisitiza kupatikana njia ya kidiplomasia kwa ajili ya kuutatua mgogoro wa Libya na kuitolea wito jamii ya kimataifa kuacha kuiuzia silaha nchi hiyo.

  • Umoja wa Afrika walaani uingiliaji wa kigeni katika masuala ya ndani ya Libya

    Umoja wa Afrika walaani uingiliaji wa kigeni katika masuala ya ndani ya Libya

    Jul 08, 2019 22:02

    Baraza la Usalama la Amani la Umoja wa Afrika limelaani vikali uingiliaji wa kigeni katika masuala ya ndani ya Libya.

  • 14 wauawa katika mapigano Tripoli, mji mkuu wa Libya

    14 wauawa katika mapigano Tripoli, mji mkuu wa Libya

    Jul 07, 2019 09:05

    Maafisa jeshi wa Libya wamearifu kuwa watu 14 wameuawa katika mapigano huko Tripoli mji mkuu wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS