-
Iran yalaani shambulizi la kigaidi katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Libya
Dec 26, 2018 11:13Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililotokea jana katika jengo la Wizara ya Mambo ya Nje ya Libya mjini Tripoli.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Libya yashambuliwa, 13 wauawa na kujeruhiwa
Dec 25, 2018 11:19Kwa akali watu watatu wameuawa akiwemo mtumishi wa umma wa ngazi za juu, huku wengine kadhaa wakijeruhiwa, baada ya watu waliojizatiti kwa silaha kushambulia jengo lenye Wizara ya Mambo ya Nje ya Libya katika mji mkuu Tripoli.
-
Juhudi za mtoto wa Gaddafi za kurejea katika ulingo wa madaraka nchini Libya
Dec 25, 2018 08:48Katika hali ambayo kumekuwepo tetesi kuhusiana na kuingia katika ulingo wa siasa Seif al-Islam Gaddafi, mtoto wa kiongozi wa zamani wa Libya Kanali Muammar Gaddafi na juhudi zake za kutaka kugombea kiti cha urais katika uchaguzi ujao, Seif al-Islam amemwandikia barua Rais Vladimir Putin wa Russia akitaka Moscow imsaidie na kumuunga mkono.
-
Wahajiri 300 waokolewa katika maji ya pwani ya Libya
Dec 22, 2018 04:32Shirika moja lisilo la kiserikali nchini Uhispania limeripoti kuwa wahajiri haramu 300 wameokolewa katika maji ya pwani ya Libya.
-
AU yatahadharisha kuhusu machafuko ya Libya
Dec 19, 2018 11:41Mratibu wa Masuala ya Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika amesema kuwa machafuko na ukosefu wa usalama nchini Libya vinaathiri bara zima la Afrika.
-
Libya yatangaza tarehe ya kufanyika kura ya maoni ya katiba
Dec 07, 2018 04:42Mkuu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Libya ametangaza tarehe ya kufanyika kura ya maoni kuhusu katiba ya nchi hiyo.
-
Kiu na njaa yaua wahajiri 15 ndani ya boti, pwani ya Libya
Dec 04, 2018 11:10Maiti 15 za wahajiri zimepatikana zikiwa ndani ya boti katika pwani ya Libya, katika bahari ya Mediterania.
-
Wahajiri 113 waokoloewa katika fukwe za magharibi mwa Libya
Nov 26, 2018 23:11Jeshi la Majini la Libya limetangaza habari ya kuokoa wahajiri haramu 113 katika fukwe za magharibi mwa nchi hiyo.
-
Watu 7 wauawa katika shambulio la genge la kigaidi la ISIS kusini mashariki mwa Libya
Nov 24, 2018 03:42Vyombo vya habari vya Libya usiku wa kuamkia leo vimetangaza kuwa, wanamgambo wa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) wameshambulia kituo kimoja cha polisi kusini mashariki mwa nchi hiyo na kuua watu wasiopungua saba na kujeruhi wengine 10.
-
Makumi ya wahajiri wajifungia kwenye kontena Libya
Nov 15, 2018 00:03Makumi ya wahajiri wamejifungia kwenye shehena iliyoko ndani ya meli moja katika mji bandari wa Misrata kwa muda wa siku tano sasa baada ya kuokolewa, wakisisitiza kuwa Libya ni nchi hatari sana kwao.