Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Juhudi za kurejesha amani nchini Libya

    Juhudi za kurejesha amani nchini Libya

    Nov 14, 2018 08:33

    Jitihada za kurejesha amani huko Libya zinaendelea kufanywa wakati huu ambapo nchi hiyo inasumbuliwa mgogoro na changamoto nyingi. Hadi sasa kumefanyika mikutano kadhaa ya kujadili njia za kurejesha amani nchini humo ukiwemo ule wa siku mbili nchini Italia uliodhuhuriwa na pande kuu husimu katika mgogoro wa ndani wa nchi hiyo na jumbe kutoka nchi 30 duniani.

  • Mkutano wa amani wa Libya wamalizika nchini Italia

    Mkutano wa amani wa Libya wamalizika nchini Italia

    Nov 13, 2018 23:48

    Mkutano wa siku mbili wa amani wa Libya ulimalizika jana usiku katika mji wa Palermo nchini Italia.

  • Mahasimu wa Libya kuzungumzia uchaguzi katika kikao cha Italia

    Mahasimu wa Libya kuzungumzia uchaguzi katika kikao cha Italia

    Nov 11, 2018 10:43

    Makundi hasimu ya kisiasa ya Libya yanatazamiwa kukutana kesho Jumatatu katika mkutano wa kujadili masuala ya uchaguzi, utakaofanyika katika mji wa Palermo nchini Italia.

  • UN yaiwekea Libya vikwazo kwa ukatili wa kingono

    UN yaiwekea Libya vikwazo kwa ukatili wa kingono

    Nov 06, 2018 10:06

    Umoja wa Mataifa umezidisha vikwazo dhidi ya nchi ya Libya kutokana na kesi nyingi za ubakaji na ukatili wa kingono zilizoripotiwa nchini humo.

  • Ongezeko la vitendo vya kigaidi nchini Libya lautia wasiwasi Umoja wa Mataifa

    Ongezeko la vitendo vya kigaidi nchini Libya lautia wasiwasi Umoja wa Mataifa

    Oct 31, 2018 12:14

    Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amesema kuwa kuongezeka vitendo vya kigaidi katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo ukiwemo mji mkuu Tripoli, linatia wasiwasi mkubwa.

  • Ukosoaji wa Bunge la Afrika kwa muamala wa kindumakuwili wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na wahajiri haramu

    Ukosoaji wa Bunge la Afrika kwa muamala wa kindumakuwili wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na wahajiri haramu

    Oct 29, 2018 06:20

    Bunge la Afrika (PAP) limekosoa undumakuwili wa Umoja wa Mataifa katika kuamiliana na nchi za Kiafrika na za Ulaya kwenye kadhia nzima ya kukabiliana na tatizo la wahajiri haramu.

  • Naibu Spika wa Bunge la Afrika: Libya na Algeria ni wahanga wa uhajiri haramu

    Naibu Spika wa Bunge la Afrika: Libya na Algeria ni wahanga wa uhajiri haramu

    Oct 29, 2018 04:44

    Naibu Spika wa Bunge la Afrika (PAP) amesema Libya na Algeria ni wahanga wa uhajiri haramu barani humo.

  • Misri yajiandaa kutuma jeshi nchini Libya

    Misri yajiandaa kutuma jeshi nchini Libya

    Oct 22, 2018 11:19

    Duru za habari zimetangaza kuwa, serikali ya Misri imechukua uamuzi wa kutuma jeshi katika nchi jirani ya Libya kwa ajili ya kulisaidia jeshi la Khalifa Haftar linalojulikana kama Jeshi la Taifa.

  • Libya yalalamikia kufanyika kikao cha waungaji mkono wa Jenerali Haftar nchini Misri

    Libya yalalamikia kufanyika kikao cha waungaji mkono wa Jenerali Haftar nchini Misri

    Oct 21, 2018 21:05

    Maafisa usalama wa serikali ya mwafaka wa kitaifa ya Libya wamelalamikia kufanyika kikao cha waungaji mkono wa Jenerali Khalifa Haftar, kamanda wa vikosi viitwavyo Jeshi la Taifa la Libya katika mji mkuu wa Misri, Cairo.

  • Waarabu wataka utatuzi wa kudumu wa mgogoro wa Libya

    Waarabu wataka utatuzi wa kudumu wa mgogoro wa Libya

    Oct 15, 2018 04:15

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League amesisitizia haja ya kutafutwa utatuzi wa kimsingi na wa kudumu wa mgogoro wa Libya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS