-
Mbunge wa Libya: Mjumbe wa UN ni mtekelezaji wa siasa za Marekani
May 24, 2022 07:19Muhammad al A'bani, mbunge wa Bunge la Wawakilishi la Libya amesema Stephanie Williams, mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya ni mtekelezaji wa mipango na siasa za Marekani katika eneo.
-
Al-Dbeibah asisitiza kufungamana na chaguzi za Bunge na Rais Libya
May 04, 2022 08:05Waziri Mkuu wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya amesema kuwa, wananchi wa Libya hawana njia nyingine isipokuwa kuitisha uchaguzi na amesisitiza kuwa anafungamana na chaguzi za Bunge na Rais wa nchi hiyo.
-
Kuendelea mivutano ya kisiasa nchini Libya
Apr 20, 2022 02:46Mivutano ya kisiasa imeongezeka huko Libya ambapo serikali inayoongozwa na Fathi Pashaga, inailaumu Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa kuibua mivutano hiyo na kutahadharisha kuwa serikali hiyo itabeba dhima ya tukio lolote litakalohatarisha maisha ya Walibya.
-
Libya yakataa kucheza na Israel mchezo wa vitara huko Imarati
Apr 12, 2022 10:26Timu ya taifa ya mchezo wa kushindana kwa vitara (fencing) ya Libya imekataa kucheza na utawala haramu wa Israel katika mashindano ya ubingwa wa mchezo huo katika Umoja wa Falme za Kiarabu, ili kuonesha mshikamano wao kwa wananchi wa Palestina.
-
Watu wanne waaga dunia baada ya boti yao kuzama pwani ya Libya
Apr 12, 2022 10:23Kwa akali watu wanne wamethibitishwa kupoteza maisha baada ya boti iliyokuwa imewabeba kuzama katika Bahari ya Mediterrania, pwani ya Libya.
-
Jitihada za kumshawishi Al-Dbeibeh akabidhi madaraka Libya zaendelea
Mar 31, 2022 02:25Waziri Mkuu mpya wa Libya Fathi Bashagha amesema jitihada zinafanywa za kumshawishi waziri mkuu wa serikali ya mpito Abdul Hamid al-Dbeibah akubali kung'atuka madarakani na kumkabidhi yeye hatamu za uongozi.
-
Tume ya Uchaguzi Libya: Tupo tayari kwa uchaguzi kukiwepo makubaliano
Mar 20, 2022 07:42Tume ya Uchaguzi Libya imesema ipo tayari kuendesha zoezi la uchaguzi mara tu makubaliano ya kisiasa yatakapofikiwa.
-
Kampuni ya Taifa ya Mafuta ya Libya yasitisha uzalishaji; baada ya visima kushambuliwa
Mar 07, 2022 12:21Kampuni ya Taifa ya Mafuta ya Libya imetangaza kusitisha uzalishaji wa mafuta katika visima viwili vikubwa nchini humo.
-
Arab League yaelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya kisiasa nchini Libya
Mar 07, 2022 11:31Kuongezeka kwa tofauti kati ya mirengo ya Libya kuhusu utungaji wa sheria za uchaguzi wa rais na wabunge kumekuwa tishio kubwa kwa mchakato wa uchaguzi, kwa kadiri kwamba Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Ahmed Aboul Gheit ameeleza wasiwasi wake juu ya hali ya kisiasa ya nchi hiyo na umuhimu wa kuwepo mwafaka na maridhiano ya kisiasa.
-
Umoja wa Mataifa kupatanisha Libya baada ya serikali hasimu kuapishwa
Mar 05, 2022 14:11Umoja wa Mataifa umetangaza utayarifu wa kupatanisha mgogoro wa kisiasa nchini Libya baada ya kuibuka serikali mbili hasimu.