-
UN: Kesi ya mtoto wa rais wa zamani wa Libya ipelekwe ICC
Feb 22, 2017 00:37Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kupelekwa faili la kesi ya Saif al-Islam Gaddafi, mwana wa Kanali Muammar Gaddafi, kiongozi wa zamani wa Libya katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
Hilali Nyekundu: Wahajiri 74 wafa maji pwani ya Libya wakielekea Ulaya
Feb 21, 2017 10:25Shirika la Hilala Nyekundu la Libya limesema makumi ya wahajiri wamekufa maji katika Bahari ya Mediterranean wakijaribu kuelekea barani Ulaya.
-
Marekani, Ulaya zatuhumiwa kuunga mkono ugaidi Libya
Feb 19, 2017 10:58Jenerali Khalifa Haftar wa Libya amezituhumu nchi kadhaa za Ulaya na Marekani kuwa zinaunga mkono makundi ya kigaidi nchini Libya.
-
Vikao vya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Libya na changamoto zilizopo
Feb 18, 2017 23:11Juhudi za kieneo na kimataifa za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Libya zingali zinaendelea huku kukiwa hakuna kikao chochote kati ya vilivyofanyika ambacho hadi sasa kimeweza kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo. Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Tunisia, Algeria na Misri kwa mara nyingine tena wanatazamiwa kukutana huko Tunisia kujadili njia za kukomesha mgogoro wa miaka sita wa Libya.
-
Wahajiri haramu raia wa Senegal, waliokuwa wanaelekea Ulaya, warejeshwa makwao
Feb 17, 2017 00:35Wahajiri haramu 170 raia wa Senegal waliokuwa wamekusudia kuelea barani Ulaya na waliokuwa wamehifadhiwa katika kambi maalumu mjini Tripol, Libya wamerejeshwa makwao.
-
Libya yaiomba Nato msaada wa kijeshi
Feb 16, 2017 12:14Serikali ya Libya inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa imeuomba Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) usaidie kuimarisha majeshi yake.
-
Uchaguzi wa Rais na Bunge Libya kufanyika kabla ya Februari 2018
Feb 15, 2017 04:29Uchaguzi wa Rais na Bunge wa Libya umepangwa kufanyika kufikia mwezi Februari mwaka kesho.
-
Radiamali ya serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya kufuatia kuundwa gadi ya taifa huko Tripoli
Feb 13, 2017 00:52Serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya imelaani kuundwa kikosi cha wanajeshi kwa jina la Gadi ya Taifa huko Tripoli mji mkuu wa nchi hiyo chenye mfungamano na serikali ya Uokovu.
-
Kuendelea mgogoro wa Libya na uingiliaji wa kigeni ndani ya nchi hiyo
Feb 13, 2017 00:50Katika hali ambayo kwa mara ya kwanza António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, ameshindwa kupasisha jina la Salam Fayyad Waziri Mkuu wa zamani wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kuwa mjumbe maalumu wa umoja huo katika masuala ya Libya, mgogoro wa nchi hiyo unaendelea kushtadi siku hadi siku huku Marekani ikiendelea kutoa pingamizi dhidi ya mwanasiasa huyo wa Palestina.
-
UN yataka suala la wakimbizi Libya lishughulikiwe ipasavyo
Feb 11, 2017 13:08Maafisa kadhaa wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa wametaka kuchukuliwe hatua za kivitendo za kufuatilia hali ya wakimbizi wa nchini Libya.