-
Imefichuka kupitia taarifa za siri za jeshi la Israel: 83% ya waliouawa Ghaza ni raia wa kawaida
Aug 22, 2025 10:04Taarifa za siri za jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel zilizovuja zinaonyesha kuwa watu watano kati ya sita waliouliwa na jeshi hilo katika Ukanda wa Ghaza ni raia wa kawaida.
-
Jibu la Tunisia kwa kauli ya Netanyahu ni ishara ya wasiwasi wa nchi za Kiarabu kuhusu mipango ya upanuzi ya Israel
Aug 22, 2025 02:13Wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano ya kupinga uzayuni wakilaani matamshi ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu, kuhusu kile kinachoitwa “Israeli Kubwa.”
-
Kwa nini maandamano yameshadidisha hali mbaya ya mgogoro Israel?
Aug 19, 2025 10:26Mgogoro wa hivi sasa katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) na kushadidi maandamano yanaashiria kudhoofika muundo wa kisiasa na kiusalama wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Maandamano ya kutaka kulindwa wanahabari wa Gaza yafanyika Afrika Kusini
Aug 18, 2025 06:48Waandishi wa habari wa Afrika Kusini na wafanyakazi wa vyombo vya habari wameongoza maandamano huko Sea Point jijini Cape Town, wakishinikiza kupewa ulinzi zaidi waandishi wa habari wa Palestina huko Gaza, sanjari na kutangaza mshikamano na wenzao waliouawa katika ukanda huo wa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Familia za mateka Waisrael zaanzisha mgomo wa nchi nzima kupinga upanuzi wa vita dhidi ya Ghaza
Aug 18, 2025 02:54Gazeti la Times of Israel limeripoti kuwa familia na waungaji mkono wa mateka Waisrael wameanza mgomo wao wa nchi nzima ili "kupinga upanuzi wa vita katika Ukanda wa Ghaza badala ya kusaini makubaliano ya kufanikisha kuachiliwa huru mateka hao wanaoshikiliwa na Hamas".
-
Maelfu waandamana mjini New York kupinga sera ya njaa huko Gaza
Aug 17, 2025 11:24Maelfu ya wananchi wa Marekani wameshiriki maandamano huko mjini New York kutaka kukomeshwa utumiaji wa njaa kwa makusudi dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza, sambamba na kuchukuliwa hatua za haraka za kimataifa za kukomesha mauaji ya halaiki katika eneo hilo.
-
Maandamano makubwa nchini Tunisia na Morocco kupinga vita na kuzingirwa Gaza
Aug 12, 2025 12:57Mamia ya Waafrika kaskazini mwa Afrika kwa mara nyingine tena wamejitokeza mitaani kuelezea upinzani wao dhidi ya vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Gaza na siasa za kuwalazimishia njaa wakazi wa ukanda huo.
-
Maandamano makubwa kupinga jinai za Israel huko Gaza yafanyika Sweden
Jul 20, 2025 07:58Wauungaji mkono wa Palestina wameandamana Stockholm, mji mkuu wa Sweden kupinga mashambulizi yanayoendelea kufanywa na jeshi la Israel dhidi ya shule na hospitali za Ukanda wa Gaza.
-
Wananchi wa Argentina waandamana kuliunga mkono taifa la Palestina
Jul 14, 2025 13:21Maandamano makubwa yamefanyika katika mji mkuu wa Argentina, Buenos Aires, huku maelfu ya wananchi wakikusanyika katika baadhi ya barabara kuu na nembo na vituo muhimu vya jiji hilo, kutangaza himaya na uungaji mkono wao kwa taifa madhulumu la Palestina.
-
Mkuu wa Mawaziri Kenya atofautiana na Rais Ruto kuhusu kuwapiga risasi waandamanaji
Jul 14, 2025 03:13Mkuu wa Mawaziri wa Mawaziri nchini Kenya, Musalia Mudavadi ametofautiana na Rais William Ruto kuhusu wito wake wa kupigwa risasi viijana wanaoandamana kupinga sera za serikali yake na amevitaka vyombo vya usalama visiwaumize Wakenya wakati wa maandamano.