-
Wanigeria waandamana kupinga kundi linalodai kuwa eti linapambana na Boko Haram
Jul 01, 2019 08:22Kufutia mauaji ya dereva mmoja kaskazini mashariki mwa Nigeria yaliyofanywa na kundi la wanamgambo linalodai kuwa linapambana na wanamgambo wa Boko Haram, maelfu ya Wanigeria wamefanya maandamano makubwa wakitaka kuhitimishwa shughuli za kundi hilo.
-
Maandamano ya kupinga safari ya Meya wa Israel mjini Paris, Ufaransa
Jul 01, 2019 08:08Wanaharakati na watetezi wa haki za Wapalestina nchini Ufaransa wamefanya maandamano ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina katika mji mkuu wa nchi hiyo Paris, sambamba na kulaani safari ya Meya wa Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel, nchini humo.
-
Wayemen waandamana dhidi ya ubeberu wa Marekani na Saudia
Jun 28, 2019 10:26Makumi ya maelfu ya wananchi wa Yemen wamefanya maandamano leo Ijumaa katika miji mbalimbali ya nchi hiyo ya Kiarabu ukiwemo mji mkuu Sana'a, kulalamikia ubeberu wa Marekani na mashambulizi ya kikatili ya Saudi Arabia.
-
Jamii ya Mayahudi nchini Marekani yaandamana kupinga siasa za utawala haramu wa Israel
Jun 27, 2019 06:51Wanaharakati wa kiraia wa jamii ya Mayahudi wa Orthodox wanaoishi nchini Marekani wamefanya maandamano kupinga siasa za utawala haramu wa Kizayuni katika kuwalazimisha wanawake kwenda kujiunga na jeshi.
-
Wapalestina waandamana kupinga mkutano wa 'Muamala wa Karne' Bahrain
Jun 26, 2019 02:01Maefu ya wananchi wa Palestina jana Jumanne walijitokeza mabarabarani kushiriki maandamano ya kupinga mkutano wa kuzindua Muamala wa Karne ulionza jana katika mji mkuu wa Bahrain, Manama.
-
Wamorocco waandamana kupinga mkutano wa Bahrain wa kuangamiza kadhia ya Palestina
Jun 24, 2019 02:03Maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano makubwa kupinga mkutano wa kufungua mpango wa Marekani wa Muamala wa Karne wa kuangamiza kadhia ya Palestina uliopangwa kufanyika kesho na keshokutwa Jumatano katika mji mkuu wa Bahrain, Manama.
-
Wamarekani waandamana katika miji 130 wakitaka Rais Donald Trump asailiwe
Jun 16, 2019 09:07Wananchi wa Marekani wamefanya maandamano katika miji tofauti inayokaribia 130 wakitaka Rais Donald Trump wa nchi hiyo asailiwe.
-
Watunisia waandamana dhidi ya Israel, waiunga mkono Palestina
Jun 16, 2019 02:29Makumi ya wanaharakati wa kisiasa na kijamii wa nchini Tunisia kwa mara nyingine wamefanya maandamano katika barabara za mji mkuu Tunis, kulaani mpango wowote wa kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel, sambamba na kuonyesha uungaji mkono wao kwa wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Watu kadhaa wauawa katika kampeni ya uasi wa kiraia Sudan
Jun 10, 2019 03:17Kwa akali watu wanne wameripotiwa kuuawa na maafisa usalama katika kampeni ya uasi wa kiraia wa nchi nzima iliyoanza jana Jumapili nchini Sudan.
-
Maelfu waandamana Algeria wasema ,'Nyote Ondokeni'
Jun 08, 2019 03:11Maelfu ya watu wameandamana katika mji mkuu wa Algeria, Algiers wakitaka rais wa mpito Abdlekader Bensalah aondoke baada ya sisitizo lake kuwa atabakia madarakani hadi rais mpya achaguliwe.