-
Wairani waandamana kote nchini kuliunga mkono Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH)
Apr 12, 2019 10:45Wananchi wa Iran katika kila kona ya nchi wamemiminika mabarabarani kushiriki maandamano ya kuonyesha uungaji mkono wao kwa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH.
-
Waalgeria washadidisha maandamano baada ya kuteuliwa rais wa mpito
Apr 09, 2019 10:11Maelfu ya wananchi wa Algeria wakiwemo wanafunzi wa Vyuo Vikuu wamemiminika mabarabarani kushiriki maandamano ya kupinga kuteuliwa rais wa mpito wa nchi hiyo.
-
Wizara: Israel inatumia gesi za sumu dhidi ya waandamanaji wa Kipalestina
Apr 09, 2019 10:08Msemaji wa Wizara ya Afya ya Gaza amesema utawala wa Kizayuni wa Israel umekuwa ukitumia gesi za sumu dhidi ya waandamanaji wa Kipalestina katika ukanda huo.
-
Watu wengine 5 wauawa katika maandamano ya Sudan
Apr 08, 2019 03:27Kwa akali watu watano wameuawa na maafisa usalama ndani ya masaa 48 yaliyopita, huku maandamano ya kumtaka Rais Omar al Bashir ajiuzulu yakichachamaa nchini Sudan.
-
Watu 60 wameuawa katika ghasia na maandamano nchini Sudan
Apr 07, 2019 02:42Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Physicians for Human Rights limesema kuwa, watu wasiopungua 60 wameuliwa na maafisa usalama nchini Sudan katika kipindi cha miezi mitatu ya ghasia na maandamano dhidi ya serikali.
-
Kiongozi wa upinzani Sudan amtaka Rais Bashir ajiuzulu
Apr 06, 2019 03:20Kiongozi wa kambi ya upinzani nchini Sudan amemtaka Rais Omar Hassan al-Bashir wa nchi hiyo ajiuzulu.
-
Maandamano yaendelea Sudan, polisi wapambana na waandamanaji
Apr 04, 2019 10:24Polisi ya Sudan imekabiliana na waandamanaji waliokuwa wakiandamana dhidi ya serikali katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum na maeneo ya kando kando na mji mkuu huo.
-
Rais wa Sudan: Matakwa ya wananchi wanaoandamana ni halali
Apr 01, 2019 20:24Rais Omar al Bashir wa Sudan amekiri kuwa matakwa yanayoshinikizwa na wananchi wa nchi hiyo ambao wamekuwa wakishiriki maandamano dhidi ya serikali kwa miezi kadhaa sasa ni halali.
-
Msemaji wa Netanyahu ashambuliwa vikali kwa kuwaita waandamanaji wa Kipalestina 'wake za ISIS'
Mar 31, 2019 03:19Msemaji wa Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu amejiwa juu na watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Twitter kwa kuwaita wanawake wa Kipalestina walioshiriki maandamano ya 'Haki ya Kurejea' huku wakiwa wamevalia vazi la stara la niqabu kuwa eti ni wake za wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la ISIS (Daesh).
-
Wamarekani waandamana kupinga kushambuliwa kijeshi Venezuela
Mar 31, 2019 03:11Mamia ya wananchi wa Marekani wamefanya maandamano mjini Washington DC kupinga uingiliaji wa aina yoyote wa kijeshi wa nchi hiyo dhidi ya Venezuela.