-
Mamia waandamana London, Uingereza dhidi ya utawala haramu wa Israel
Mar 30, 2019 22:42Mamia ya watu wamejitokeza katika barabara za London, mji mkuu wa Uingereza kushiriki maandamano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran: Amani ya kudumu itapatikana kwa kutamatishwa ukaliaji wa mabavu wa adhi za Palestina
Mar 30, 2019 03:27Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka mmoja ya Maandamano ya Wapalestina ya "Haki ya Kurejea" yaliyoanza rasmi tarehe 30 Machi mwaka jana 2018.
-
Wakazi wa Haifa, Israel waandamana kuwaunga mkono wakazi wa Gaza na wafungwa wa Kipalestina
Mar 29, 2019 03:45Wakazi wa mji wa Haifa katika ardhi za palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) wamefanya maandamano kuwaunga mkono wakazi wa Ukanda wa Gaza na wafungwa wa Kipalestina wanaoteseke katika jela za kutisha za utawala huo katili.
-
Wanawake waandamana Comoro kupinga ushindi wa Rais Azali
Mar 28, 2019 10:37Makumi ya wanawake katika visiwa vya Comoro wamefanya maandamano hii leo kupinga ushindi wa Rais Azali Assoumani katika uchaguzi wa rais wa hivi karibuni.
-
Waziri: Hakuna mgogoro wa kisiasa Sudan, yaliyoko ni matatizo ya kiuchumi
Mar 26, 2019 03:05Waziri wa Habari wa Sudan amesema hakuna mgogoro wa kisiasa katika nchi hiyo, bali kinachoshuhudiwa ni changamoto za kiuchumi.
-
Waingereza waandamana London kutaka kufanyika kura mpya ya maoni kuhusu Brexit
Mar 24, 2019 03:01Mamia ya maelfu ya wananchi wa Uingereza wamefanya maandamano katika mji mkuu London, kushinikiza kufanyika kura mpya ya maoni kuhusu suala la kujitoa nchi hiyo katika Umoja wa Ulaya (Brexit).
-
Waislamu wa Nigeria waandamana tena kushinikiza Sheikh Zakzaky aachiliwe huru
Mar 21, 2019 11:30Kwa mara nyingine tena, wananchi Waislamu wa Nigeria wamefanya maandamano ya kutaka kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky aachiliwe huru.
-
Waniger waandamana kupinga uwepo wa askari wa kigeni nchini kwao
Mar 17, 2019 03:33Mamia ya raia wa Niger jana Jumamosi walifanya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Niamey wakipinga uwepo wa askari wa kigeni katika nchi yao.
-
Maandamano makubwa yafanyika London kupinga ubaguzi
Mar 17, 2019 00:56Makumi ya maelfu ya watu walikusanyika kati kati ya mji mkuu wa Uingereza, London jana Jumamosi kulaani na kupinga chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) na ubaguzi wa rangi.
-
Maafisa wa chama tawala Algeria wajitenga na Rais Bouteflika
Mar 16, 2019 01:12Maafisa waandamizi wa chama tawala nchini Algeria cha FNL wamemtaka Rais Abdelaziz Bouteflika wa nchi hiyo kuchukua hatua ya 'kihistoria', hatua nyingine ambayo inaashiria kuwa chama hicho kimeendelea kujiweka mbali na Bouteflika.