-
Rais Bouteflika kurejea nchini Algeria leo, maandamano yachachamaa
Mar 10, 2019 10:51Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria anatazamiwa kurejea katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika leo Jumapili, baada ya kuwa nje ya nchi kwa muda wa wiki mbili kwa ajili ya matibabu.
-
Maandamano ya Vizibao vya Njano yafanyika kwa wiki ya 17 dhidi ya Macron, Ufaransa
Mar 09, 2019 11:39Maandamano ya wananchi wa Ufaransa ya kupinga siasa za serikali ya nchi hiyo mashuhuri kama maandamano ya harakatri ya Visibao vya Njano yamefanyika leo kwa wiki ya 17.
-
Waalgeria waandamana hadi hospitali alikolazwa Bouteflika nchini Uswisi
Mar 09, 2019 00:52Waalgeria wanaoishi nchini Uswisi wamefanya maandamano ya kupinga msimamo wa Rais Abdelaziz Bouteflika wa kugombea tena urais kwa muhula wa tano.
-
Nchi za Magharibi zavunja kimya, zaitaka Algeria iheshimu haki za raia
Mar 06, 2019 04:46Nchi za Magharibi zimevunja kimya chao cha muda sasa mbele ya ukandamizaji mkubwa unaofanywa na vyombo vya dola nchini Algeria dhidi ya raia wanaopinga uamuzi wa rais mgonjwa wa nchi hiyo wa kutaka kugombea tena kiti hicho na kuitaka serikali ya Algiers iheshimu haki za raia ikiwemo haki ya kufanya maandamano ya amani.
-
Makumi wakamatwa Marekani kwa kulalamikia mauaji ya kijana mweusi
Mar 05, 2019 11:01Makumi ya watu wametiwa mbaroni na polisi ya Marekani kwa kushiriki maandamano ya kupinga hatua ya Ofisi ya Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Serikali katika wilaya ya Sacramento jimboni California nchini humo, kuwaondolea mashitaka maafisa wa polisi waliommiminia risasi na kumuua kijana mweusi ambaye hakuwa amejizatiti kwa silaha yoyote mwaka jana.
-
Mamia ya wanachuo waandamana nchini Algeria dhidi ya Bouteflika
Feb 27, 2019 04:28Mamia ya wanafunzi wa vyuo vikuu wa Algeria wamefanya maandamano katika barabara za mji mkuu wa nchi hiyo Algiers, kupinga mpango wa rais wa nchi hiyo Abdulaziz Bouteflika, kugombea tena urais kwa muhula wa tano.
-
Rais wa Sudan avunja serikali na kutangaza hali ya hatari 'kuzima' maandamano dhidi yake
Feb 23, 2019 03:09Rais Omar Hassan al-Bashir wa Sudan ametangaza hali ya hatari nchi nzima, huku akiipiga kalamu nyekundu serikali ya kifederali ya nchi hiyo.
-
Maandamano yaendelea Sudan, wananchi wamtaka al Bashir ang'atuke
Feb 22, 2019 12:39Askari wa usalama wa Sudan wametumia gesi ya kutoa machozi kukabiliana na mamia ya watu walifanya maandamano leo dhidi ya serikali ya nchi hiyo baada ya Swala ya Ijumaa.
-
Serikali ya Sudan yawakamata viongozi wa upinzani
Feb 21, 2019 12:03Maafisa wa polisi nchini Sudan wamewatia mbaroni viongozi waandamizi wa vyama vya upinzani, muda mfupi kabla ya kuanza wimbi jipya la maandamano dhidi ya serikali.
-
Waalgeria wapinga Bouteflika kugombea tena kiti cha rais
Feb 17, 2019 08:51Makundi mbalimbali ya wananchi wa Algeria wamefanya maandamano leo wakipinga uamuzi wa Rais wa sasa wa nchi hiyo, Abdelaziz Bouteflika kugombea kiti hicho kwa mara ya tano.