-
Bunge la Sudan lasimamisha mpango wa kurefusha uongozi wa Rais Bashir
Feb 17, 2019 04:36Kamati ya Bunge la Sudan iliyotwikwa jukumu la kuifanyia marekebisho katiba kwa lengo la kurefusha uongozi wa Rais Omar al-Bashir wa nchi hiyo imesimamisha mpango huo.
-
Mamilioni ya Wairani washiriki maandamano ya kuadhimisha miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 11, 2019 04:36Mamilioni ya wananchi Waislamu wa Iran wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika maandamano ya kuadhimisha miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Muungano wa Madaktari Sudan: Watu 57 wameuawa katika maandamano
Feb 10, 2019 09:50Muungano wa Madaktari nchini Sudan umesema, watu 57 wameuawa hadi sasa tangu yalipoanza maandamano ya kupinga serikali tarehe 19 Disemba mwaka jana.
-
Baada ya mgomo, sasa walimu Tunisia wafanya maandamano
Feb 07, 2019 11:10Maelfu ya walimu nchini Tunisia wamemiminika mabarabarani katika mji mkuu Tunis kushiriki maandamano yaliyoitishwa kwa lengo la kuishinikiza serikali iliyokataa kuwapandishia mishahara wafanyakazi wa umma.
-
Wayahudi wenye asili ya Ethiopia waandamana Tel Aviv kupinga ukatili wa polisi wa Kizayuni
Jan 31, 2019 11:20Maelfu ya Wayahudi wenye asili ya Ethiopia yaani Mafalasha wamefanya maandamano huko Tel Aviv kupinga ubaguzi wa rangi na ukandamizaji wa polisi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Vyombo vya usalama Sudan vyamwachia huru Naibu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani
Jan 30, 2019 11:13Vyombo vya usalama vya serikali ya Sudan vimemwachia huru Naibu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani cha Umma Mariam Sadiq al-Mahdi.
-
Kinara wa kambi ya upinzani Cameroon atiwa nguvuni
Jan 29, 2019 04:50Vyombo vya usalama vya Cameroon vimemtia nguvuni kiongozi wa chama kikuu cha upinzani baada ya maandamano ya mwishoni mwa wiki iliyopita yaliyotawanywa na askari usalama kwa kutumia risasi za moto.
-
Waislamu Nigeria washinikiza kuachiwa huru mwanahabari Marzieh Hashemi
Jan 22, 2019 04:26Waislamu na wanaharakati wa kutetea haki za binadamu nchini Nigeria wamefanya maandamano kulaani kukamatwa na kuwekwa kizuizini nchini Marekani Marzieh Hashemi, mwandishi wa habari na mtangazaji wa kanali ya kimataifa ya Press TV ya Iran.
-
Waandamanaji waendelea kuuawa Sudan, serikali yavituhumu vyama vya mrengo wa kushoto
Jan 21, 2019 23:52Idadi ya watu waliouawa kwa kupigwa risasi nchini Sudan katika "Maandamano ya Mkate" inaendelea kuongezeka baada ya kufariki dunia mwanafunzi wa chuo kikuu aliyepigwa risasi kichwani.
-
Maelfu ya wanawake waandamana dhidi ya Trump Marekani na Ulaya
Jan 20, 2019 04:13Maelfu ya wanawake wameshiriki maandamano katika miji mikubwa ya Marekani na Ulaya kupinga sera za kibaguzi za Rais Donald Trump.