-
Wasudan waendeleza maandamano ya mkate, polisi yaua watu watatu
Jan 18, 2019 12:35Maandamano ya kumtaka Rais Omar Hassan al Bashir wa Sudan ang'atuke madarakani yameendelea mapema leo Ijumaa katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo baada ya mauaji ya watu watatu waliopigwa risasi na polisi katika maandamano ya jana mjini Khartoum.
-
Wasudan waendeleza maandamano ya mkate, wamtaka al Bashir ang'atuke
Jan 18, 2019 00:23Maelfu ya Wasudan waliandamana tena jana Alkhamisi katika miji mbalimbali ya nchi hiyo wakitaka kuondoka madarakani serikali ya Rais Omar al Bashir wa nchi hiyo.
-
Mgomo wa nchi nzima wa wafanyakazi waanza nchini Tunisia
Jan 17, 2019 04:10Muungano mkubwa zaidi wa wafanyakazi nchini Tunisia UGTT umesema mgomo wa nchi nzima wa malaki ya watumishi wa umma umeng'oa nanga hii leo Alkhamisi.
-
Zimbabwe yatumia wanajeshi kuzima maandamano, kadhaa wauawa
Jan 15, 2019 11:08Watu wasiopungua watano wameuawa na maafisa usalama huku maandamano ya kupinga ongezeko la bei ya mafuta kwa asilimia 150 nchini Zimbabwe yakishtadi.
-
Ghasia zaibuka Ethiopia kufuatia kuongezeka mapigano ya kikabila
Jan 15, 2019 04:45Ghasia zimeshika kasi nchini Ethiopia kufuatia kuongezeka mapigano ya kikabila katika eneo la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Maandamano Zimbabwe baada ya ongezeko la bei ya mafuta kwa 150%
Jan 14, 2019 12:00Wananchi wa Zimbabwe hii leo wamefanya maandamano katika miji mikubwa ya nchi hiyo ukiwemo mji mkuu Harare, kulalamikia ongezeko la bei ya fueli kwa asilimia 150 lililotangazwa jana na Rais Emmerson Mnangagwa wa nchi hiyo.
-
Polisi wa Israel wawashambulia Wakristo waliopinga kudhalilishwa Nabii Issa (as)
Jan 12, 2019 09:34Maandamano ya amani ya Wakristo wanaoishi ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) yamefanyika karibu na jumba la makumbusho la mji wa Haifa wakipinga picha za kumvunjiwa heshima Nabii Issa (Yesu Kristo) ambapo yameishia kwenye ghasia na machafuko baada ya kushambuliwa na polisi wa utawala haramu wa Israel.
-
Askari katili wa Israel wamuua shahidi kwa risasi mwanamke wa Kipalestina
Jan 12, 2019 04:10Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limemuua shahidi kwa kumpiga risasi mwanamke wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Jumuiya ya Madaktari nchini Sudan yaitisha mgomo wa nchi nzima
Jan 11, 2019 04:37Jumuiya ya Madaktari nchini Sudan imeitisha mgomo wa nchi nzima ikilalamikia kuuawa kiholela waandamanaji kadhaa katika mji wa Omdurman.
-
Mo Ibrahim: ICC imfutie mashitaka Rais wa Sudan iwapo ataachia ngazi
Jan 09, 2019 23:20Bilionea mashuhuri mzawa wa Sudan, Mohammed Ibrahim amesema Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC inapaswa kumuondolea mashitaka Rais Omar al-Bashir wa Sudan iwapo atakubali kujiuzulu, kama anavyoshinikizwa na wananchi wanaofanya maandamano dhidi yake tangu mwezi uliopita.