Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

maandamano

  • Warohingya walioko Bangladesh wakataa kurejeshwa nchini Myanmar

    Warohingya walioko Bangladesh wakataa kurejeshwa nchini Myanmar

    Jan 19, 2018 10:23

    Mamia ya wakimbizi wa Kirohingya walioko nchini Bangladesh leo Ijumaa wamefanya maandamano wakipinga mpango wa kuwarejesha nchini Myanmar, ambako walikimbia mauaji na mashambulizi kutoka kwa jeshi la nchi hiyo likishirikiana na Mabudha wenye misimamo mikali.

  • Polisi Sudan watumia mabomu na bakora kuzima maandamano

    Polisi Sudan watumia mabomu na bakora kuzima maandamano

    Jan 16, 2018 11:08

    Maafisa usalama nchini Sudan wametumia mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji, wanaolalamikia ughali wa maisha na hali ngumu ya kiuchumi.

  • Bandera za Israel zachomwa moto kumkaribisha Netanyahu India

    Bandera za Israel zachomwa moto kumkaribisha Netanyahu India

    Jan 14, 2018 04:32

    Maandamano makubwa yameshuhudiwa katika mji mkuu wa India, New Delhi, kabla ya kuanza safari ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu katika nchi hiyo.

  • Rais wa Tunisia afanya mkutano wa kusitisha maandamano

    Rais wa Tunisia afanya mkutano wa kusitisha maandamano

    Jan 14, 2018 04:23

    Rais wa Tunisia amevunja kimya chake na kufanya mkutano na vyama vya siasa, miungano ya wafanyakazi na shirikisho la waajiri kwa shabaha yan kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kiuchumi na maandamano yanayoshuhudiwa nchini humo kwa siku kadhaa sasa.

  • Maandamano ya kulalamikia mfumko wa bei yashtadi Tunisia

    Maandamano ya kulalamikia mfumko wa bei yashtadi Tunisia

    Jan 09, 2018 12:21

    Mtu mmoja ameuawa, huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano ya wananchi wa Tunisia wanaolalamikia mfumko wa bei za bidhaa na kile wanachokitaja kama 'bajeti isiyo ya uadilifu'.

  • Wairani waandamana kupinga fujo na machafuko na kuunga mkono Mfumo wa Kiislamu

    Wairani waandamana kupinga fujo na machafuko na kuunga mkono Mfumo wa Kiislamu

    Jan 03, 2018 12:08

    Wananchi wa Iran kutoka pembe mbalimbali za nchi wamefanya maandamano hii leo kuuunga mkono Mfumo wa Kiislamu unaotawala sambamba na kulaani ghasia zinazoshuhudiwa katika baadhi ya maeneo.

  • Tehran: Israel, US hazina ufahamu juu ya taifa la Iran

    Tehran: Israel, US hazina ufahamu juu ya taifa la Iran

    Dec 31, 2017 11:23

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema utawala wa Kizayuni wa Israel, Marekani na nchi nyingine zinazojifanya kutetea haki za Wairani hazina ufahamu wowote kuhusu taifa la Iran.

  • Waisraeli waandamana dhidi ya Netanyahu kwa wiki ya tano

    Waisraeli waandamana dhidi ya Netanyahu kwa wiki ya tano

    Dec 31, 2017 11:17

    Maelfu ya Waisraeli wamemiminika mabarabarani kwa wiki ya tano mfululizo kushiriki maandamano ya kushinikiza kufungwa jela Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu kutokana na kashfa za ufisadi wa kifedha zinazomuandama.

  • Kadhaa wauawa katika maandamano dhidi ya serikali Kongo DR

    Kadhaa wauawa katika maandamano dhidi ya serikali Kongo DR

    Dec 31, 2017 11:09

    Kwa akali watu wawili wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika ghasia za maandamano dhidi ya serikali katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Wapalestina wawili wauawa shahidi katika maandamano ya tatu ya

    Wapalestina wawili wauawa shahidi katika maandamano ya tatu ya "Ijumaa ya Ghadhabu" ya kupinga uamuzi wa Trump

    Dec 22, 2017 23:13

    Wapalestina wawili wameuliwa shahidi na makumi ya wengine wamejeruhiwa huko Ukanda wa Gaza katika maandamano ya tatu ya "Ijumaa ya Ghadhabu" ya kupinga na kulaani uamuzi wa rais wa Marekani wa kuitangaza Quds kuwa mji mkuu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS