-
Wananchi wa Indonesia waandamana kuwaunga mkono Wapalestina
Dec 17, 2017 04:39Makumi ya maelfu ya wananchi wa Indonesia wamefanya maandamano Jumapili ya leo kulaani uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuitangaza Quds kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel sambamba na kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Wapalestina waandamana katika "Ijumaa ya Ghadhabu" dhidi ya Trump
Dec 15, 2017 13:32Raia wa Palestina leo Ijumaa wamefanya maandamano katika ardhi zote zinazokaliwa kwa mabavu chini ya anwani "Ijumaa ya Hasira" ili kulalamikia na kupinga hatua ya hivi karibuni ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuutangaza mji mtakatifu wa Quds kuwa mji mkuu wa Israel.
-
Mji wa London washuhudia maandamano ya kutaka kuachiliwa huru Sheikh Zakzaky
Dec 14, 2017 03:22Maelfu ya wakazi wa mji mkuu wa Uingereza London, wameandamana wakitaka kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
-
Wananchi wa Mauritania waandamana kumlaani Donald Trump
Dec 11, 2017 11:02Wananchi wa Mauritania wameungana na Waislamu na wapenda haki katika kona zote za dunia kuendeleza maandamano ya kumlaani rais wa Marekani, Donald Trump kwa hatua yake ya kuitambua Quds kuwa mji mkuu wa utawala pandikizi wa Israel.
-
Wajordan waandamana kumlaani Rais wa Marekani
Dec 09, 2017 11:51Wananchi wa Jordan pamoja na viongozi wa sekta mbalimbali akiwemo spika wa bunge la nchi hiyo wamefanya maandamano karibu na ubalozi wa Marekani mjini Amman kulaani hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump, ya kuitambua Baytul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala ghasibu wa Kizayuni.
-
Trump alaaniwa katika kila kona ya dunia
Dec 07, 2017 04:07Uamuzi wa rais wa Marekani wa kuutangaza mji mtakatifu wa Quds wenye Kibla cha Kwanza cha Waislamu kuwa eti ni mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel umeendelea kulaaniwa na hata waitifaki wa karibu wa Marekani katika kila kona ya dunia.
-
Serikali ya Congo DR yapiga marufuku maandamano ya wapinzani
Nov 27, 2017 04:40Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imepiga marufuku maandamano ya kambi ya upinzani yaliyopangwa kufanyika tarehe 30 mwezi huu wa Novemba kumshinikiz Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo aondoke madarakani.
-
Wanigeria waandamana kutaka Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu aachiliwe huru
Nov 26, 2017 00:15Wanawake wameandamana katika mji mkuu wa Nigeria, Abuja wakitaka serikali imuachilie huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo Sheikh Ibrahim Zakzaky na mke wake.
-
Wanachuo Zimbabwe waandamana dhidi ya Mugabe
Nov 20, 2017 11:06Wanachuo nchini Zimbabwe wamefanya maandamano katika kuonyesha upinzani wao kwa rais wa nchi hiyo.
-
Wajerumani waandamana kupinga chokochoko za Marekani dhidi ya Korea Kaskazini
Nov 19, 2017 04:05Raia wa Ujerumani wameandamana katika mji mkuu wa nchi Berlin hiyo kulalamikia kuongezeka mivutano kati ya Marekani na Korea Kaskazini.