-
Wamisri wafanya maandamano makubwa kupinga kuipa Saudia visiwa vya nchi yao
Jun 25, 2017 23:42Hatua ya Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri ya kutia saini makubaliano ya kuikabidhi Saudi Arabia visiwa viwili vya nchi hiyo vya Tiran na Sanafir, imeibua hasira kubwa baina ya raia wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Mapigano yazuka baina ya waandamani na polisi nchini Morocco
Jun 17, 2017 09:55Maandamano makubwa ya wananchi wa Morocco huko kaskazini mwa nchi hiyo, leo yamegeuka kuwa uwanja wa mapigano kati yao na vikosi vya usalama vya nchi hiyo ya kaskazini magharibi mwa Afrika.
-
Wamisri waandamana kupinga kupewa Saudia visiwa viwili vya nchi yao
Jun 14, 2017 03:45Wananchi wa Misri wamefanya maandamano katika mji mkuu Cairo, kulalamikia uamuzi wa Bunge la hiyo nchi hiyo wa kuidhinisha kupewa Saudi Arabia visiwa viwili vya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika vya Tiran na Sanafir.
-
Askari 30 watiwa nguvuni nchini Cameroon kwa kukiuka kanuni za jeshi
Jun 07, 2017 11:06Waziri wa Uinzi wa Cameroon ametangaza kuwa askari 30 wa jeshi la nchi hiyo wametiwa nguvuni kwa tuhuma za kufanya maandamano ya kupinga serikali.
-
Mayahudi waandamana kuunga mkono taifa la Palestina
May 28, 2017 09:09Maelfu ya Mayahudi wamefanya maandamano mjini Tel Aviv kuunga mkono kuundwa taifa huru la Palestina sambamba na kulaani miaka 50 ya utawala haramu wa Israel kukalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina.
-
Wanaharakati 14 wahukumiwa kifo kwa kuandamana Saudia
May 26, 2017 09:43Mahakama moja nchini Saudi Arabia imewahukumu adhabu ya kifo wanaharakati 14 kwa kushiriki maandamano katika eneo la Qatif.
-
Polisi Nigeria yatumia mabavu kuzima maandamano ya Waislamu
May 23, 2017 02:39Kwa mara nyingine tena polisi nchini Nigeria imetumia mabomu ya kutoa machozi na maji ya kuwasha kutawanya maandamano ya wananchama wa Harakati ya Kiislamu nchini humo wanaoshinikiza kuachiwa huru kiongozi wao, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Maandamano dhidi ya serikali nchini Afrika Kusini
May 16, 2017 22:03Kwa mara nyingine tena mvutano wa kisiasa umeigubika nchi ya Afrika Kusini kiasi kwamba, maelfu ya wapinzani wa serikali wameendelea kufanya maandamano katika siku za hivi karibuni wakitaka Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo ajiuzulu.
-
Wananchi waandamana Tunisia kupinga msahama kwa mafisadi
May 14, 2017 03:02Maelfu ya wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo Tunis kupinga muswada ambao ukipasishwa na kuwa sheria, maafisa wa serikali wanaopatikana na hatia ya ufisadi watafutiwa makosa mkabala wa kurejesha mali walizopora kwa dola.
-
Wapalestina waadhimisha Siku ya Nakaba chini ya anga ya mgomo wa kula
May 14, 2017 02:44Wapalestina kote duniani wanaadhimisha Siku ya Nakba hii leo, kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 69 tangu ulipoundwa utawala bandia na haramu wa Israel mwaka 1948.