Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

maandamano

  • Wapalestina waadhimisha Siku ya Nakaba chini ya anga ya mgomo wa kula

    Wapalestina waadhimisha Siku ya Nakaba chini ya anga ya mgomo wa kula

    May 14, 2017 02:44

    Wapalestina kote duniani wanaadhimisha Siku ya Nakba hii leo, kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 69 tangu ulipoundwa utawala bandia na haramu wa Israel mwaka 1948.

  • Waislamu na wanaharakati waandamana London, Uingereza dhidi ya Israel

    Waislamu na wanaharakati waandamana London, Uingereza dhidi ya Israel

    May 07, 2017 08:52

    Mamia ya Waislamu nchini Uingereza wamefanya maandamano katika mji mkuu London kulaani ukaliaji wa mabavu na upanuzi wa vitongoji vya walowezi za Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Wabahrain waandamana nchi nzima huku kesi ya Sheikh Qassim ikiskizwa leo

    Wabahrain waandamana nchi nzima huku kesi ya Sheikh Qassim ikiskizwa leo

    May 07, 2017 03:04

    Wananchi wa Bahrain wamejitokeza mabarabarani kushiriki maandamano ya nchi nzima leo Jumapili, siku ya kusikilizwa kesi ya Ayatullah Sheikh Isa Qassim, mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Kuongezeka malalamiko ya wananchi na wasiwasi wa watawala wa Saudi Arabia

    Kuongezeka malalamiko ya wananchi na wasiwasi wa watawala wa Saudi Arabia

    Apr 28, 2017 09:58

    Katika kipindi cha chini ya siku 10, vijana wa Saudi Arabia wametumia mitandao ya kijamii kutoa mwito mwingine wa maandamano ya kulalamikia hali mbaya ya kimaisha nchini mwao.

  • Maandamano makubwa ya kumtaka Rais Zuma ajiuzulu yafanyika Pretoria

    Maandamano makubwa ya kumtaka Rais Zuma ajiuzulu yafanyika Pretoria

    Apr 27, 2017 23:11

    Wananchi wa Afrika Kusini wameendelea kufanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi wakitaka kujiuzulu Rais wa nchi Jacob Zuma.

  • Maandamano makubwa dhidi ya Trump, Wamarekani 39 wauawa na kujeruhiwa

    Maandamano makubwa dhidi ya Trump, Wamarekani 39 wauawa na kujeruhiwa

    Apr 23, 2017 03:17

    Zaidi ya Wamarekani 40 elfu wakiwemo wasomi na wataalamu mashuhuri wa nchi hiyo wameshiriki kwenye maandamano mjini Washington ya kumpinga Rais Donald Trump wa nchi hiyo na kulalamikia sera zake za mazingira.

  • Jumuiya za haki za binadamu: Mamia waliuawa katika maandamano ya mwaka jana Ethiopia

    Jumuiya za haki za binadamu: Mamia waliuawa katika maandamano ya mwaka jana Ethiopia

    Apr 20, 2017 00:06

    Ofisi ya Haki za Binadamu nchini Ethiopia imetangaza kuwa, raia 669 waliuawa katika maandamano yaliyofanyika mwaka jana dhidi ya serikali ya nchi hiyo.

  • Ghasia katika maandamano ya wafuasi na wapinzani wa Donald Trump huko California

    Ghasia katika maandamano ya wafuasi na wapinzani wa Donald Trump huko California

    Apr 16, 2017 11:22

    Ghasia zimeibuka katika maandamano baina ya wapinzani na wafuasi wa Rais Donald Trump wa Marekani katika jimbo la California.

  • Wakristo waungana na Waislamu Nigeria kushinikiza kuachiwa huru Zakzaky

    Wakristo waungana na Waislamu Nigeria kushinikiza kuachiwa huru Zakzaky

    Apr 12, 2017 02:55

    Kwa mara nyingine tena Waislamu nchini Nigeria wamefanya maandamano ya amani katika mji mkuu wa nchi hiyo, Abuja kushinikiza kuachiwa huru mwanazuoni wa Kiislamu nchini humo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.

  • Makumi ya waandamanaji watiwa nguvuni Kongo DR

    Makumi ya waandamanaji watiwa nguvuni Kongo DR

    Apr 12, 2017 02:43

    Makumi ya watu wametiwa mbaroni kwa kushiriki maandamano yaliyopigwa marufuku na serikali katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS