Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Mabadiliko ya Tabianchi

  • Jeshi la Marekani mchafuzi mkubwa zaidi wa hewa Mashariki ya Kati

    Jeshi la Marekani mchafuzi mkubwa zaidi wa hewa Mashariki ya Kati

    Feb 21, 2023 07:24

    Ripoti iliyotolewa na tovuti ya habari ya Middle East Eye inaonyesha kuwa jeshi la Marekani ni moja ya wasababishaji wakubwa zaidi wa uchafuzi unaoleta mabadiliko ya hali ya hewa katika Mashariki ya Kati.

  • Mpigano, majanga ya tabianchi na ukimbizi vinawakosesha masomo watoto milioni 78 duniani

    Mpigano, majanga ya tabianchi na ukimbizi vinawakosesha masomo watoto milioni 78 duniani

    Feb 17, 2023 03:54

    Watoto wa kike na wa kiume milioni 78 duniani kote hawaendi skuli kabisa kutokana na mapigano, mizozo, majanga ya tabianchi na ukimbizi ilhali wengine makumi ya mamilioni wanapata elimu ya hapa na pale. Hayo ni kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres.

  • IRC: Mabadiliko ya tabianchi yanazidisha migogoro ya binaadamu

    IRC: Mabadiliko ya tabianchi yanazidisha migogoro ya binaadamu

    Dec 14, 2022 23:10

    Kulingana na matokeo ya utafiti wa "Kamati ya Kimataifa ya Uokoaji", mabadiliko ya hali ya hewa yatazidisha kasi ya migogoro ya wanaadamu katika mwaka ujao wa 2023 na kuongeza migogoro mengine ya kiuchumi.

  • Kuanza Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi huko Glasgow; shaka na mazingatio katika mkutano huo

    Kuanza Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi huko Glasgow; shaka na mazingatio katika mkutano huo

    Nov 03, 2021 07:48

    Mkutano kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi wa Umoja wa Mataifa (COP26) ulianza shughuli zake juzi Jumatatu katika mji wa Glasgow nchini Scotland kwa kuhudhuriwa na wakuu wa nchi zaidi ya 100 na viongozi wengine wa ngazi za juu wa nchi mbalimbali duniani.

  • UNICEF: Maisha ya watoto bilioni moja yako hatarini kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi

    UNICEF: Maisha ya watoto bilioni moja yako hatarini kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi

    Aug 21, 2021 08:25

    Ripoti mpya iliyotolewa leo na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF inaonyesha kuwa, vijana na watoto bilioni moja duniani hususan wanaoishi katika nchi za Jamuhuri ya Afrika ya Kati, Chad, Nigeria, Guinea, na Guinea-Bissau wanakabiliwa na hatari zaidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi, yakitishia afya zao, elimu, na ulinzi, na kuwaweka kwenye hatari ya magonjwa.

  • Wanasayansi watahadharisha kuhusu uhaba wa chakula utakaoikumba dunia miongo miwili ijayo

    Wanasayansi watahadharisha kuhusu uhaba wa chakula utakaoikumba dunia miongo miwili ijayo

    Aug 11, 2021 10:20

    Wanasayansi wametahadharisha kuwa uzalishaji wa chakula duniani kote utapungua kutokana na kuongezeka joto la sayari ya dunia kwa nyuzijoto 1.5 selsiasi. Hii ni kufuatia ripoti iliyotolewa na Umoja wa Mataifa kuhusu baa la mabadiliko ya tabianchi.

  • Guterres: Mgogoro wa mabadiliko ya tabianchi umekaribia kubaya

    Guterres: Mgogoro wa mabadiliko ya tabianchi umekaribia kubaya

    Jun 11, 2021 22:20

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza wasiwasi wake kuwa, nchi tajiri duniani zimetumia mabilioni mengi ya dola katika nishati ya kisukuku katika kipindi cha maaambukizi ya corona na kutahadharisha kwamba, mgogoro wa mabadiliko ya tabianchi umekaribia nukta hatarishi.

  • Grossi: Haiwezakani kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa joto duniani bila ya nishati ya nyuklia

    Grossi: Haiwezakani kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa joto duniani bila ya nishati ya nyuklia

    Feb 25, 2021 00:21

    Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) amesisitiza umuhimu wa nishati ya nyuklia katika uchumi na kutatua mgogoro wa nishati katika siku za usoni.

  • UN yatoa indhari: Hali ya dharura ya mabadiliko ya tabianchi inahitaji hatua za haraka

    UN yatoa indhari: Hali ya dharura ya mabadiliko ya tabianchi inahitaji hatua za haraka

    Dec 12, 2020 22:17

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameonya kuwa dunia hivi sasa inakabuliwa na hali ya dharura ya mabadiliko ya tabianchi.

  • Marekani yajiondoa rasmi katika Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi wa Paris

    Marekani yajiondoa rasmi katika Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi wa Paris

    Nov 04, 2020 08:57

    Marekani hii leo imejiondoa rasmi katika Makubaliano ya Mabadiliko ya Tabianchi yaliyofikiwa mjini Paris, Ufaransa mwaka 2015.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS