-
Marekani inafutilia nini katika kuweka vikwazo vipya dhidi ya Iran?
Sep 04, 2025 07:21Marekani imeweka vikwazo vipya ili kuzuia uuzaji nje wa mafuta ya Iran.
-
Je, India itasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Trump?
Aug 08, 2025 02:11Siku ya Jumatano, Agosti 6, Rais Donald Trump wa Marekani alitia saini amri ya kuweka ushuru wa ziada wa asilimia 25 dhidi ya bidhaa za India ili kukabiliana na hatua ya nchi hiyo ya kuendelea kununua mafuta ya Russia, na hivyo kuongeza ushuru jumla kwa bidhaa za India hadi asilimia 50.
-
Kutozwa ushuru wa asilimia 25 na Marekani kwa nchi zinazonunua mafuta ya Venezuela
Mar 27, 2025 05:49Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kutoza ushuru wa asilimia 25 kwa biashara yoyote na nchi zinazonunua mafuta na gesi ya Venezuela. Ameelezea ushuru huu kama jibu la kutumwa Marekani wanachama wa genge la uhalifu la "Tren de Aragua".
-
Baghaei: Machi 19 ni uthibitisho wa dhamira ya Wairani ya kupinga uonevu
Mar 20, 2025 03:12Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa tarehe 29 Isfand (Machi 19), ambayo ni maadhimisho ya siku ya kufanywa mafuta ya Iran kuwa ni mali ya taifa, ni ushahidi wa azma ya kweli ya wananchi wa Iran ya kupinga uonevu.
-
Waziri wa Mafuta: Sera ya kusimamisha uuzaji mafuta ya Iran nje ya nchi imefeli na itaendelea kufeli
Feb 10, 2025 03:27Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohsen Paknejad amesema vikwazo havina tija yoyote na akasisitiza kwamba, sera ya kuufanya uuzaji mafuta ya Iran nje ya nchi ufikie kiwango cha sifuri imefeli na itaendelea kufeli.
-
IRGC yanasa meli ya 'Togo' ikifanya magendo ya mafuta Ghuba ya Uajemi
Jul 23, 2024 02:57Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limefanikiwa kutwaa meli nyingine ya kigeni ikifanya magendo ya mafuta mengi katika maji ya Ghuba ya Uajemi.
-
Kiwanda cha Dangote chaanza kuuzia Ulaya mafuta ya ndege
Jun 02, 2024 06:37Kiwanda cha Kusafishia Mafuta cha Dangote cha Nigeria kimeanza kuziuzia nchi za Ulaya mafuta ya ndege.
-
Idadi ya walioaga dunia katika mripuko wa lori la mafuta Liberia yaongezeka
Dec 28, 2023 06:39Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mripuko wa lori la mafuta uliotokea katikati ya Liberia imeongezeka na kufikia watu 40.
-
Mripuko katika kituo cha mafuta Guinea waua na kujeruhiwa makumi
Dec 18, 2023 11:49Watu wasiopungua wanane wamefariki dunia katika mripuko uliotokea katika kiwanda kimoja cha kuhifadhi na kusambaza mafuta huko Conakry, mji mkuu wa Guinea.
-
Admeri Tangsiri: Mafuta yaliyoko Ghuba ya Uajemi ni ya Iran, majirani zake
Jul 03, 2023 02:50Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema mafuta yaliyoko katika eneo la Ghuba ya Uajemi ni milki ya Iran na majirani zake katika eneo hili la kistratajia.